BMW series 1

BMW series 1

kidadari

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2012
Posts
8,647
Reaction score
9,604
Baada ya woga mwingi dhidi ya magari ya BMW ila hali sasa imebadilia naona wapenz wa baby walker wengi wamehamia kwenye BMW series 1.

Nini siri ya haka kagari spea sio adimu tena na wamepunguza size ya engine kwenye uaji wa mafuta?

Huko tuendako nadhan mindset zetu zitabadilika na tutaanza kununua magari ya ulaya ambayo wengi wamekua wakiyaogopa licha ya uimara wake.

BH647813_43bc74.jpeg
BH519670_1a06d5.jpg
BH268304_d76d5b.jpg
 
Mbona 1 series haijawahi kua mlaji wa mafuta" kama unavyosema.

Spare sio adimu ndio ila BMW spare ni ghali ukifananisha na Japanese car na hiyo haina exclusive kwa 1 2 3 5 series wala X series.

Ni watu tu wameamua kubadirika kutoka Toyota kwenda BMW au Benz.

Check Audi pia naziona ona mjini.
 
Spea sio adimu ila ni ghali. Aidha bei ya gari zenyewe nazo sio kubwa kivile ni vile maintenance yake inakua juu kidogo.

Mfano kuna 1 series ya mwaka 2005, nyeupe ina cc 1590 bei yake hadi bandari ya Dar es Salaam ni 2,986 USD (Tsh. 6,930,000). Ingawa bei hii inaweza kushuka hadi around 2700 USD (Tsh. 6,265,000) akiagiza mtu ambae ameagiza mara nyingi na ana offer.

Gharama za ushuru wa TRA kwa hii gari ni Tsh. 5,864,268.65 (20/1/2021, saa 2:40 asubuhi)

Kwa hiyo jumla ya bei ya gari na ushuru ni 6,265,000 + 5,864,268 ambayo ni 12,129,268/=

Sasa hii ongezea laki nane (800,000) za kulipia shipping line, wharfage, port charges, clearing agent fee, plate number na kadi ya gari. Hii ni makadirio ila najua haitacheza mbali na hapa na mimi nilitumia less than that. Jumla kuu itakua roughly 13,000,000/=. Sasa ukiangalia hii bei ni more or less the same na bei za IST ya mwaka huo huo baada ya ushuru kupanda.

References:
Bei na specifications za gari nimeziona hapa
Bei ya ushuru wa TRA nimeiona hapa pia
 
Spea sio adimu ila ni ghali. Aidha bei ya gari zenyewe nazo sio kubwa kivile ni vile maintenance yake inakua juu kidogo.

Mfano kuna 1 series ya mwaka 2005, nyeupe ina cc 1590 bei yake hadi bandari ya Dar es Salaam ni 2,986 USD (Tsh. 6,930,000). Ingawa bei hii inaweza kushuka hadi around 2700 USD (Tsh. 6,265,000) akiagiza mtu ambae ameagiza mara nyingi na ana offer...

Mchawi spea tu
 
Spea sio adimu ila ni ghali. Aidha bei ya gari zenyewe nazo sio kubwa kivile ni vile maintenance yake inakua juu kidogo...
Kweli mkuu gari nzuri shida ilikua akili zetu zimeshakariri BMW kuimiliki inahitaji hela nyingi sana
 
Wabishi wanaendesha Magari ya ulaya kitambo Sana haijalishi kama spare parts ni bei ghali au yanakula mafuta.

Haya Magari Yana heshima Sana mtaani na barabaran na kama mfukoni hauna pesa ya mawazo haya ndiyo Magari ya kutumia
 
Yeah F series nimeoma improvement. Wameacha Electric Pump wameenda zile za kawaida Mechanical. Nimebadirisha pump mbili aisee each M1 na ushee. Sina hamu.
Aisee hapo sio mchezo.

Unamshauri nini mtu anayetaka kuhamia bimmer 3 series (E46/E90) au hapo kwny 5 series E60/E61) akitokea toyota mkuu?
 
Aisee hapo sio mchezo.

Unamshauri nini mtu anayetaka kuhamia bimmer 3 series (E46/E90) au hapo kwny 5 series E60/E61) akitokea toyota mkuu?
Me nna E90 tamu ila plastic sana. Nahisi E46 ni better in terms of durability.

E90 ukitaka kuchukua ni 6 cylinders tu N5x engine. Achana na 4. 6 cylinders ni zile zenye cc kuanzia 2500 kwenda juu.

5 series sijaimiliki ila vitu vingi zitafanana tu.
 
Spea sio adimu ila ni ghali. Aidha bei ya gari zenyewe nazo sio kubwa kivile ni vile maintenance yake inakua juu kidogo.

Mfano kuna 1 series ya mwaka 2005, nyeupe ina cc 1590 bei yake hadi bandari ya Dar es Salaam ni 2,986 USD (Tsh. 6,930,000). Ingawa bei hii inaweza kushuka hadi around 2700 USD (Tsh. 6,265,000) akiagiza mtu ambae ameagiza mara nyingi na ana offer.

Gharama za ushuru wa TRA kwa hii gari ni Tsh. 5,864,268.65 (20/1/2021, saa 2:40 asubuhi)

Kwa hiyo jumla ya bei ya gari na ushuru ni 6,265,000 + 5,864,268 ambayo ni 12,129,268/=

Sasa hii ongezea laki nane (800,000) za kulipia shipping line, wharfage, port charges, clearing agent fee, plate number na kadi ya gari. Hii ni makadirio ila najua haitacheza mbali na hapa na mimi nilitumia less than that. Jumla kuu itakua roughly 13,000,000/=. Sasa ukiangalia hii bei ni more or less the same na bei za IST ya mwaka huo huo baada ya ushuru kupanda.

References:
Bei na specifications za gari nimeziona hapa
Bei ya ushuru wa TRA nimeiona hapa pia
Nissan xtrail same year 2005 nayo bei ni hiyo hiyo 13ml
 
Ila BMW ni mnyama, hasa wale wapenda magari na trip ndefu. X series is better choice for our case, X1, X3, X5, X6 all are better cars, tatizo bongo wauza vipuli + mafundi wana discarage sana kumiliki hizi ndinga. Wakali tumeanzisha DIY system, you own it, you maintain it yourself. Bimmer forever
 
Hio DIY system mmeanzishia wapi mkuu?
 
Back
Top Bottom