kidadari
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 8,647
- 9,604
Baada ya woga mwingi dhidi ya magari ya BMW ila hali sasa imebadilia naona wapenz wa baby walker wengi wamehamia kwenye BMW series 1.
Nini siri ya haka kagari spea sio adimu tena na wamepunguza size ya engine kwenye uaji wa mafuta?
Huko tuendako nadhan mindset zetu zitabadilika na tutaanza kununua magari ya ulaya ambayo wengi wamekua wakiyaogopa licha ya uimara wake.