BMW SUV (X3,X5) zinatelekezwa garage

Kule kwetu uyole mbeya hakuna fundi anaweza fix timing chain ya BMW,imagine nimetoka kusalimia kijijini busokelo halafu likazingua huko hukoπŸ˜“πŸ˜“πŸ˜πŸ˜.
Hata wale wachina hawawezi kweli? wako jirani na Manyaya filling station, unapandishia pale kituo cha daladala cha kilimo.
 

Shida sio umeme mwingi wala diagnosis.

Shida wamiliki wa hayo magari wabahili na hawana pesa ya kuhudumia hayo magari ya europe.

Garage za kizungu zipo hapa bongo ila wamiliki wa hizo BMW wanaziogopa hizo garage maana ni gharama.

BOSCH garage wana branch hapa bongo. Wana vifaa vyote na skills zote za kutengeneza hayo magari.

Mfano mwingine Bus za kisasa hizi Zhongtong, Yutong, scania G 7. Zina umeme mwingii kuliko hizo bmw , range ama discovery.

Pamoja na umeme wake wote bado diagnosis na hata matengenezo hizo bus zinafanyiwa hapa hapa bongo
 
point
 
Kwahiyo Mkuu kwakuwa unatetea gari za Europe ndiyo ukaamua utufokee kwa Kingereza sio? Sawa bwana, ngoja nipitie vitini vya Ras Simba kisha nirudi kusoma andiko lako
 
Ooh...mbaya sana hiyo!Ni bora wayaache tu nyumbani na kubadili matumizi yawe mabanda ya kufugia kuku.Chicken coops!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…