BMW SUV (X3,X5) zinatelekezwa garage

BMW SUV (X3,X5) zinatelekezwa garage

Gari zao ni reliable kinoma,tatizo bei ya spares part,na mafundi pia ni tatizo.mafundi wengi kwa asilimia kuwa sana hawajaensa darasani(mechanics) ni wale wa chini ya mwembe.

Baadhi wame advance wapo ndani ya fence lakini tatizo ni (diagnosis)kulijua tatizo kwanza,hatuna vifaa,umeme ni mwingi Sana, sensor ni nyingi mazee.

Shida sio umeme mwingi wala diagnosis.

Shida wamiliki wa hayo magari wabahili na hawana pesa ya kuhudumia hayo magari ya europe.

Garage za kizungu zipo hapa bongo ila wamiliki wa hizo BMW wanaziogopa hizo garage maana ni gharama.

BOSCH garage wana branch hapa bongo. Wana vifaa vyote na skills zote za kutengeneza hayo magari.

Mfano mwingine Bus za kisasa hizi Zhongtong, Yutong, scania G 7. Zina umeme mwingii kuliko hizo bmw , range ama discovery.

Pamoja na umeme wake wote bado diagnosis na hata matengenezo hizo bus zinafanyiwa hapa hapa bongo
 
Shida sio umeme mwingi wala diagnosis.

Shida wamiliki wa hayo magari wabahili na hawana pesa ya kuhudumia hayo magari ya europe.

Garage za kizungu zipo hapa bongo ila wamiliki wa hizo BMW wanaziogopa hizo garage maana ni gharama.

BOSCH garage wana branch hapa bongo. Wana vifaa vyote na skills zote za kutengeneza hayo magari.

Mfano mwingine Bus za kisasa hizi Zhongtong, Yutong, scania G 7. Zina umeme mwingii kuliko hizo bmw ama discpvery.

Pamoja na umeme wake wote bado diagnosis na hata matengenezo hizo bus zinafanyiwa hapa hapa bongo
point
 
Mleta mada nikutoe wasi wasi hakuna gari isiyotengenezeka.
Jingine ni utahangaika sana kupindua huu ukweli kuwa euro cars ni bora kuliko japanese debezi!
Eurocar raha sana hata madogo kama golf.
Basi tu mleta mada ana kisiran (...an hungry man is an angry man!)
Nawashauri watumiaji wa eurocars waheshim kanuni za service. Hasa fuel isiyochakachuliwa(unaweza ongeza fuel treatment), oil genuine yenye viscousity halisi(unaweza ongeza oil treatment) , gearbox oil na uendeshaji uliostaarabika.(sio kusumbua rpm kama uko rally). Pia hizi gari hazitak mafuta ya videbe kwa vile pumps zake ni thirst sensitive!
Wajue fundi halisi sio wanaotumia karama ya uzoefu hawezi kusoma codes.
Pia ni wakati sasa mafundi proffessional wajiongeze ufundi wa magari ya gesi na betri. Changamoto zinakuja karbuni.
Mafund weng ni failure waliopata uzoefu. Ndo mana kusoma diagnosis data ni changamoto, wanaishia kulalamikia ooh gari hili ni la umeme sana!
Tutegemee wingi wa eurocars africa mana ni dampo kule wametoa ruzuku ya kudispose kupisha magari ya kuchaji na solar.
May I offer this among many others, especially on engine part.
Essential Engine Maintaining Tips

1. Your fuel filter guards against harmful substances or deposits entering your fuel system — that is your fuel injectors, fuel lines, gas, and so on. In other words, the filter ensures clean gas flows through your car engine.

Consider replacing your fuel filter to keep your combustion chamber, fuel pump, and engine running cleanly for optimal performance.

2. Change the Air Filter

Checking and changing the air filter is an often overlooked aspect of engine maintenance. A dirty air filter, however, can have a hugely negative impact on your car’s performance.

Your air filter protects your engine from the elements!

It prevents dust, dirt, and other contaminants from entering your engine. Naturally, the air filter will get clogged over time and must be replaced to keep your engine performing at the top of its game.

3. Check Your Serpentine and Timing Belts

Your serpentine belt is a long rubber belt that uses rotational energy to power many vital engine components like the alternator, water pump, and power steering pump.

The timing belt is a different component that controls the camshafts in your vehicles engine. The timing belt is essential to the smooth operation of your vehicle — whether it’s a diesel or gasoline engine.

So these belts are both pretty important, right?
Yep! And they can both become worn out pretty quickly. Be sure to check these belts often and replace them if you hear a loud squealing noise coming from under the hood.

4. Check Your Spark Plugs and Ignition Wires

Spark plugs provide the spark your gasoline engine needs to start internal combustion.

The gap between the electrodes is a critical factor that makes spark plugs work. A weaker spark will be produced when this gap is too wide, making the vehicles engine start and run ineffectively. Be sure to adjust your spark plugs to the correct gap and installation torque. If you’re unsure of this process or don’t know engine safety tips, contact a mechanic to do an automotive service.

If your car is older, you might need to adjust your ignition wires and ensure they are appropriately connected. Newer car models tend to have a coil on the plug instead of spark plug wires.

You might have to replace your spark plug completely if it becomes old and faulty. Some symptoms of a faulty spark plug include:

Lower fuel economy

Engine misfires

Trouble starting

Lack of acceleration

Engine failure

5. Don’t Drive on Reserve Fuel

A common driving tip is never to run the engine on the reserve fuel tank.

But why not? Using reserve tank fuel can’t be that bad, right?

All gas and petrol contain small sediments that sink to the bottom of your tank. When you run on extremely low fuel, this gunk at the bottom of the fuel tank inevitably gets pumped into the engine. This can aggravate and accelerate fuel pump wear and tear. Always try to run your car with ample amounts of petrol in the tank, and save the reserve fuel for emergencies only.
Kwahiyo Mkuu kwakuwa unatetea gari za Europe ndiyo ukaamua utufokee kwa Kingereza sio? Sawa bwana, ngoja nipitie vitini vya Ras Simba kisha nirudi kusoma andiko lako
 
Umaskini ndio tatizo, unakopa benki milioni 35, unamvua mtu Disco 4 milioni 30 ili uvimbe nalo mjini. Unaenjoy nalo baada ya miezi mitatu linakorofisha linazima.

Unalikokota mpaka gereji unaambiwa mpaka lipone inatakiwa uweke milioni nane mezani. Unaamua kulikacha ujipange mdogo mdogo. Linabaki kua screpa la madogo wanaosadia fundi kupumzikia na kuvutia sigara gereji.
Ooh...mbaya sana hiyo!Ni bora wayaache tu nyumbani na kubadili matumizi yawe mabanda ya kufugia kuku.Chicken coops!
 
Back
Top Bottom