BMW SUV (X3,X5) zinatelekezwa garage

Kwani kila sehemu unapoenda kuomba deal unakuwa umefanya appointment na mtu, haya mambo mimi naongea kuna watu yamewakuta wala siyo story. . . .
Mwezi wa 6 hii imenikuta na Boss wangu mmoja ana Land Rover 110 hapendi kuitumia akiwa mjini. Simu ikapigwa tupo Samora street twende Hotel moja jina kapuni kuna mteja alikuwa na boti inatakiwa kufanyiwa Engine Overhaul na anataka mrejesho wapi vifaa vitaagizwa na muda kazi itapokamilika.

Jioni kutokana na foleni tuka request Bolt tuwahi, tukamwambia tupo karibu tunakuja kumbe yeye katoa order pale wageni wake wanakuja akaweka reserves parking karibu na gari yake. Tumefika getini tunapiga simu anauliza mpo wapi sioni mkiingia nipo parking maagizo nimeacha wawape reserved parking tukamwambia mkuu tumeshuka na pikipiki tupo hapa tumevuka banda la mlinzi.
 
Bosch pale Tazara usipeleke gari kama pesa unaichungulia, hizo bus za kichina hazina umeme mwingi mkuu labda Scania
 
Sasa shida ya mafundi wengi wa Tanzania hawataki kukubali yaishe.! Kwanza hawataki kukosolewa wala kujifunza vitu vipya. Ni wavivu na wanatumia nguvu mno akili kisoda.
Siku nikinunua gari nasoma kwanza user manual yake yote ndio naanza kuliendesha. Kanuni yangu kuu ni kufahamu gari lako kuliko mtu mwingine yeyote kwa sababu linabeba dhamana ya maisha yako unapoliendesha na pia linawakilisha taswira ya jinsi ulivyo.
 
nakubaliana na wewe mkuu na imenitokea mara nyingi, kuna aina za tender au pesa huwezi shika kisa haumiliki usafiri/gari, na hii inasababisha watu kuwa underrated sana.

kuna tukio liliwahi tokea(japo haihusiani na gari) nilichukuliwa poa sana katika moja ya taasisi ya kifedha baada ya kuonekana na kiswaswadu changu cha nokia tochi ila nilipotoa macbook kufanya presentation maongezi yakabadilika ghafla.
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Ndo kidogo wakaamini upo serious
 
Dah
 
Siku nikinunua gari nasoma kwanza user manual yake yote ndio naanza kuliendesha. Kanuni yangu kuu ni kufahamu gari lako kuliko mtu mwingine yeyote kwa sababu linabeba dhamana ya maisha yako unapoliendesha na pia linawakilisha taswira ya jinsi ulivyo.
Lisiwe la kijapani au JDM kwa kifupi.

Wenzako wanalia humu kubadili lugha kwenye radio.

Sembuse manual book ya kijapani?
 
Kuna mtu nafahamu ameshatumia milion 34 Hadi Sasa kurekebisha shida za gari yake audi na haijapona. Moja ya sehemu ya hiyo Hela alinunua engine milion 15. Na sio story Mimi ndio niliingua sokoni kutafuta hiyo engine. Kila siku taa ya Check Engine


Nilichojifunza kama huna Hela hizi gari za mzungu achana nazo Kaa mbali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…