Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Hizo gari ni kuwaachia mwabossKuna mtu nafahamu ameshatumia milion 34 Hadi Sasa kurekebisha shida za gari yake audi na haijapona. Moja ya sehemu ya hiyo Hela alinunua engine milion 15. Na sio story Mimi ndio niliingua sokoni kutafuta hiyo engine. Kila siku taa ya Check Engine
Nilichojifunza kama huna Hela hizi gari za mzungu achana nazo Kaa mbali.
Mafundi wapo bwana gharama za vipuli ndio ziko juuNdo kutelekeza huko Sasa. Mnanunua magari yasiyo na mafundi bongo ili iweje?
Nimechekaa sanaa[emoji1][emoji1][emoji1]Sema gari nzima sanaa badoooMjerumani huyoView attachment 2699655
Mkuu diagnosis ya gari inafikaje 700k?Hizi gari ni nzuri sana ila sio za kununua mitumba atleast iwe 50k miles na Kama huna hela ya kuchukua chuma mpya achana nazo tu, let say bmw yenye milege 100k plus hilo ni kununua janga maana katika milege izo mapungufu madogo madogo hayakosekani. Mfumo wake ulivyo hata kwa tatizo dogo lazima itadisplay mulfunction na itapunguza ufanisi wa engine balaa hapo ndio utashangaa gari haikimbii na inaanza kunywa wese sio kawaida. Hauna cha kufanya mpaka ukafanye diagnosis ambayo sio chini ya 700k hapo hujaanza matengenezo. Hivyo ni vyema kujua kwamba especially Germany cars were made for luxuries na kama huna hela pita kushoto.
Haha From 70k sorry typing errorMkuu diagnosis ya gari inafikaje 700k?
Magari ya ulaya niliapa kutorudia kumiliki tena🤗😊,mjapan for life.Pole sana ungeenda Tunduma upande wa Nakonde pale kuna wabongo na wazambia wanadeal na European Car na wana spare used kibao
nakubaliana na wewe mkuu na imenitokea mara nyingi, kuna aina za tender au pesa huwezi shika kisa haumiliki usafiri/gari, na hii inasababisha watu kuwa underrated sana.
kuna tukio liliwahi tokea(japo haihusiani na gari) nilichukuliwa poa sana katika moja ya taasisi ya kifedha baada ya kuonekana na kiswaswadu changu cha nokia tochi ila nilipotoa macbook kufanya presentation maongezi yakabadilika ghafla.
Crown sijui watu wanazipendea nn haswa
Asante sanaNi gari ambayo inakupa comfortability at a lower price,ni rahisi kuhudumia,inakupa power nzuri tu with a smooth acceleration,inastahimili masafa marefu ,kama uliagiza nzuri huwa hazina maradhi kabisa mimi ina miaka 5 nilichowahi kubadili kwenye engine ni plugs tu
Huku kwenye miguu hapakwepeki shauri ya barabara lazima utakuwa unabadili badili vitu nani rahisi kuhudumia kama ilivyo toyota nyinginezo
Swala la mafuta kama unamzunguko mzuri wa fedha basi haiwezi kuwa shida maana ki uhalisi gari ina engine kubwa ile haiwezi kuwa econimical sana kama gari zenye ukubwa chini ya hapo.
Zipo nyimgi sana huku Mwenge kwa KakobeBMW majanga
Hizo gari ni janga la kitaifaZipo nyimgi sana huku Mwenge kwa Kakobe
Ni gari ambayo inakupa comfortability at a lower price,ni rahisi kuhudumia,inakupa power nzuri tu with a smooth acceleration,inastahimili masafa marefu ,kama uliagiza nzuri huwa hazina maradhi kabisa mimi ina miaka 5 nilichowahi kubadili kwenye engine ni plugs tu
Huku kwenye miguu hapakwepeki shauri ya barabara lazima utakuwa unabadili badili vitu nani rahisi kuhudumia kama ilivyo toyota nyinginezo
Swala la mafuta kama unamzunguko mzuri wa fedha basi haiwezi kuwa shida maana ki uhalisi gari ina engine kubwa ile haiwezi kuwa econimical sana kama gari zenye ukubwa chini ya hapo.
Utalia kuna jamaa yangu analo hilo V8 ni noma anatembelea siku 2 kati ya siku 7Basi nihamie VW Touareg