BMW SUV (X3,X5) zinatelekezwa garage

[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Hizo gari ni kuwaachia mwaboss
 
Hizi gari ni nzuri sana ila sio za kununua mitumba atleast iwe 50k miles na Kama huna hela ya kuchukua chuma mpya achana nazo tu, let say bmw yenye milege 100k plus hilo ni kununua janga maana katika milege izo mapungufu madogo madogo hayakosekani. Mfumo wake ulivyo hata kwa tatizo dogo lazima itadisplay mulfunction na itapunguza ufanisi wa engine balaa hapo ndio utashangaa gari haikimbii na inaanza kunywa wese sio kawaida. Hauna cha kufanya mpaka ukafanye diagnosis ambayo sio chini ya 700k hapo hujaanza matengenezo. Hivyo ni vyema kujua kwamba especially Germany cars were made for luxuries na kama huna hela pita kushoto.
 
Mkuu diagnosis ya gari inafikaje 700k?
 

Sisi ni watu wenye roho ndogo sana ndio maana tuna hizi mind set za ku underrate mtu kwa sababu ya material things eneo flani bila kujali kila mtu ana life style flani yani ni shida.

Hii mikasa mimi imenikuta sana mara kibao lakini nilivyo ji upgrade mambo yamebadilika lakini mimi nimeshindwa kabisa kumu underrate mtu kwakweli napenda sana kumchukulia mtu vile alivyo mimi vitu vyake haviniusu napenda ku mind own business.
 
Crown sijui watu wanazipendea nn haswa

Ni gari ambayo inakupa comfortability at a lower price,ni rahisi kuhudumia,inakupa power nzuri tu with a smooth acceleration,inastahimili masafa marefu ,kama uliagiza nzuri huwa hazina maradhi kabisa mimi ina miaka 5 nilichowahi kubadili kwenye engine ni plugs tu

Huku kwenye miguu hapakwepeki shauri ya barabara lazima utakuwa unabadili badili vitu nani rahisi kuhudumia kama ilivyo toyota nyinginezo

Swala la mafuta kama unamzunguko mzuri wa fedha basi haiwezi kuwa shida maana ki uhalisi gari ina engine kubwa ile haiwezi kuwa econimical sana kama gari zenye ukubwa chini ya hapo.
 
Asante sana
 
Kwa gari za germany VW pekee ndio gari reliable kuanzia spare mpaka matengenezo, pia ni cheap hata kuagiza speed ni mulemule. Mfano polo zinanusa tu mafuta. BMW na AUDI hayo ni upuuzi nchi za ulaya na marekani kwenyewe wanayakwepa yana running cost kubwa mno alafu hayauziki kirahisi.
 

Crown tamu,huwa sitamani kushuka nkifika home[emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…