Mafundi hawataki tumia Youtube kuongeza ujuziBMW walikuja TZ,mojawapo wa obstacle kubwa waliyoiona ni kwamba TZ hakuna qualified Fundis wa magari yao
So,mojawapo wa strategies yao ni kwamba wata establish official maintenance cornerstones TZ na pia watapenyeza know how yao kwenye magereji TZ watu waelewe.
Hilo ndio tatizo kubwa lililopo TZ hasa kwa magari yote ya watu wa middle class and upper class wealthy people!
Matengenezo 16m hiyo gari ilikufa nini wakati used kutoka japani hauzidi 26mX3 yangu nilipata ajali mbaya
Kuirudisha njian nimetumia kama 16m iv nikajua imepona
Nimeendesha miez mitatu ikaanza kila siki kinakufa kitu nikaona itanifilisi nikaweka sokon
Aiasee bei niliyouza hata nusu ya ile ya matengenezo haikurud [emoji27] ila sijakoma nimeagiza x3 newmodel
Duu huyu hatari sanaa...Matengenezo 16m hiyo gari ilikufa nini wakati used kutoka japani hauzidi 26m
Matengenezo 16m hiyo gari ilikufa nini wakati used kutoka japani hauzidi 26m
X3 yangu nilipata ajali mbaya
Kuirudisha njian nimetumia kama 16m iv nikajua imepona
Nimeendesha miez mitatu ikaanza kila siki kinakufa kitu nikaona itanifilisi nikaweka sokon
Aiasee bei niliyouza hata nusu ya ile ya matengenezo haikurud [emoji27] ila sijakoma nimeagiza x3 newmodel
Youtube videos DO IT YOURSELF ....[emoji28][emoji28]Mimi gari langu maswala yote ya umeme nisimamia mwenyewe narekebisha... Raha ya Youtube
Enhee Nina Digital voltmeter napima tuu najua umeme upoje, najua waya upo unarudisha -ve charge.. Na hii ground wire ndio husababisha magari kuungua maana huleta shotiYoutube videos DO IT YOURSELF ....[emoji28][emoji28]
Sasa si kwamba badae atalia kuna tatizo tu usolve.Unasema alikuwa anabadilisha night dress ukajua kuna shida? Ulimaanisha nini?
Unachukua 100k miles tena kwa mbongo, bora ingekua huko kwenu duniani.Nimemiliki BMW X3 na X5. Mpaka sasa nina X5.
Huwa siruhusu gari ifike 100,000 miles, ikianza kukaribia tu nachukua nyingine.
Tatizo mtu ananunua X5 ina 100,000 miles tayari.
Huku ukitaka 0km unapata, ukitaka hata 300,000 km utapata.Unachukua 100k miles tena kwa mbongo, bora ingekua huko kwenu duniani.
Anyways, so bro nyie kwenu USA mnachukua 0 km tu, hakuna used huko?
Hizo za 300k (km nyingi)/used kunakua na yard ya used au unamvua mtu mkononi?Huku ukitaka 0km unapata, ukitaka hata 300,000 km utapata.
Kuna yard, unaweza kucheki pia websites kama www.cars.com, ukipata mtu pia unaweza kununua kwa mtu.Hizo za 300k (km nyingi)/used kunakua na yard ya used au unamvua mtu mkononi?
Na mnaagizaga used Toyota cars kama huku kwetu au only new, na kodi ya kuagiza ikoje?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo Bukoba, Mwanza, Singida, Dodoma, Arusha alikosa fundi mpaka Dar?!Kuna mwana alikuwa na X3 ikagoma kuwaka .Kahama nzima hakuna fundi aliweza kuiwasha jumlisha na Shinyanga .Ikabidi fundi atolewe Dar .Mpaka inawaka M na na uchafu .
Duuh, maximum 10%!!Kuna yard, unaweza kucheki pia websites kama www.cars.com, ukipata mtu pia unaweza kununua kwa mtu.
Unaweza kupata used Toyota kutoka kwa authorised dealer au kutoka kwa mtu.Ila huku hawaagizi kwa sababu kila kampuni kubwa ina kiwanda cha kutengeneza magari huku, so mostly unaenda kununua tu yard/ kwa authorised dealer, siku hizi wananunua magari hata online unaletewa nyumbani tu kama wanavyofanya watu wa www.carvana.com.
Kodi ya kununua gari inategemea uko state gani, kuna state hazina kodi kabisa, kodi kubwa kabisa ni 10%.
Unaweza kuona kodi by state hapa Car Sales Tax by State [Updated June 2023]
Huko hakuna kodi, kuna kukomeshana tu, na ndiyo maana uchumi haukui.Duuh, maximum 10%!!
Kweli huko ndio duniani, sisi huku kodi inalingana au zaidi ya bei ya used car uliyo import.
Na ukiagiza wanaangalia uchakavu kama huko, lakini sheria zinasema chochote kuhusu limitation ya km za kuendesha, yaani mfano nimenunua gari 0 km then kuna limitation ya kutovuka km kadhaa likiwa barabarani? If yes, mnayatupa au mnaya dispose vipi?
Hivi kujifunza programming ya funguo inachukua muda gani kama unajua coding kama c++?Tukihamia kwenye trucks ni different story, Kuna tracks programming ya funguo inafika 10M kazi ambayo kwenye gari ndogo kwa gari nyingi haivuki hata laki 5