Kuna yard, unaweza kucheki pia websites kama
www.cars.com, ukipata mtu pia unaweza kununua kwa mtu.
Unaweza kupata used Toyota kutoka kwa authorised dealer au kutoka kwa mtu.Ila huku hawaagizi kwa sababu kila kampuni kubwa ina kiwanda cha kutengeneza magari huku, so mostly unaenda kununua tu yard/ kwa authorised dealer, siku hizi wananunua magari hata online unaletewa nyumbani tu kama wanavyofanya watu wa
www.carvana.com.
Kodi ya kununua gari inategemea uko state gani, kuna state hazina kodi kabisa, kodi kubwa kabisa ni 10%.
Unaweza kuona kodi by state hapa
Car Sales Tax by State [Updated June 2023]