BMW SUV (X3,X5) zinatelekezwa garage

BMW SUV (X3,X5) zinatelekezwa garage

BMW walikuja TZ,mojawapo wa obstacle kubwa waliyoiona ni kwamba TZ hakuna qualified Fundis wa magari yao

So,mojawapo wa strategies yao ni kwamba wata establish official maintenance cornerstones TZ na pia watapenyeza know how yao kwenye magereji TZ watu waelewe.

Hilo ndio tatizo kubwa lililopo TZ hasa kwa magari yote ya watu wa middle class and upper class wealthy people!
Mafundi hawataki tumia Youtube kuongeza ujuzi
 
X3 yangu nilipata ajali mbaya
Kuirudisha njian nimetumia kama 16m iv nikajua imepona
Nimeendesha miez mitatu ikaanza kila siki kinakufa kitu nikaona itanifilisi nikaweka sokon
Aiasee bei niliyouza hata nusu ya ile ya matengenezo haikurud [emoji27] ila sijakoma nimeagiza x3 newmodel
 
Matengenezo 16m hiyo gari ilikufa nini wakati used kutoka japani hauzidi 26m
 
X3 yangu nilipata ajali mbaya
Kuirudisha njian nimetumia kama 16m iv nikajua imepona
Nimeendesha miez mitatu ikaanza kila siki kinakufa kitu nikaona itanifilisi nikaweka sokon
Aiasee bei niliyouza hata nusu ya ile ya matengenezo haikurud [emoji27] ila sijakoma nimeagiza x3 newmodel

Oooh pole sana! Basi mimi nikiona mnasema gharama za european cars mnanitisha kabisa nisije huko[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
 
Youtube videos DO IT YOURSELF ....[emoji28][emoji28]
Enhee Nina Digital voltmeter napima tuu najua umeme upoje, najua waya upo unarudisha -ve charge.. Na hii ground wire ndio husababisha magari kuungua maana huleta shoti
 
Nimemiliki BMW X3 na X5. Mpaka sasa nina X5.

Huwa siruhusu gari ifike 100,000 miles, ikianza kukaribia tu nachukua nyingine.

Tatizo mtu ananunua X5 ina 100,000 miles tayari.
Unachukua 100k miles tena kwa mbongo, bora ingekua huko kwenu duniani.

Anyways, so bro nyie kwenu USA mnachukua 0 km tu, hakuna used huko?
 
Hizo za 300k (km nyingi)/used kunakua na yard ya used au unamvua mtu mkononi?

Na mnaagizaga used Toyota cars kama huku kwetu au only new, na kodi ya kuagiza ikoje?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna yard, unaweza kucheki pia websites kama www.cars.com, ukipata mtu pia unaweza kununua kwa mtu.

Unaweza kupata used Toyota kutoka kwa authorised dealer au kutoka kwa mtu.Ila huku mara nyingi hawaagizi kutoka nje, kwa sababu kila kampuni kubwa ina kiwanda cha kutengeneza magari huku, so mostly unaenda kununua tu yard/ kwa authorised dealer, siku hizi wananunua magari hata online unaletewa nyumbani tu kama wanavyofanya watu wa www.carvana.com.

Kodi ya kununua gari inategemea uko state gani, kuna state hazina kodi kabisa, kodi kubwa kabisa ni 10%.

Unaweza kuona kodi by state hapa Car Sales Tax by State [Updated June 2023]
 
Kuna yard, unaweza kucheki pia websites kama www.cars.com, ukipata mtu pia unaweza kununua kwa mtu.

Unaweza kupata used Toyota kutoka kwa authorised dealer au kutoka kwa mtu.Ila huku hawaagizi kwa sababu kila kampuni kubwa ina kiwanda cha kutengeneza magari huku, so mostly unaenda kununua tu yard/ kwa authorised dealer, siku hizi wananunua magari hata online unaletewa nyumbani tu kama wanavyofanya watu wa www.carvana.com.

Kodi ya kununua gari inategemea uko state gani, kuna state hazina kodi kabisa, kodi kubwa kabisa ni 10%.

Unaweza kuona kodi by state hapa Car Sales Tax by State [Updated June 2023]
Duuh, maximum 10%!!

Kweli huko ndio duniani, sisi huku kodi inalingana au zaidi ya bei ya used car uliyo import.

Na ukiagiza wanaangalia uchakavu kama huko, lakini sheria zinasema chochote kuhusu limitation ya km za kuendesha, yaani mfano nimenunua gari 0 km then kuna limitation ya kutovuka km kadhaa likiwa barabarani? If yes, mnayatupa au mnaya dispose vipi?
 
Huko hakuna kodi, kuna kukomeshana tu, na ndiyo maana uchumi haukui.

Halafu huku tumepiga marufuku VAT. Hatutaki ujinga.

Huku kuna inspection ya gari kuangalia kama inafikia vigezo fulani, hakuna limitation za km. Kuna watu wana hobbies za kuwa na classic cars wana magari mpaka ya mwanzo kabisa wa miaka ya 1900, yani kuna watu wana magari yanakaribia au kuzidi umri wa miaka 100. Ingawa haya yanakuwa kama kwa hobby tu, si kwa kuendesha kila siku.

Wanachotakiwa ni kuhakikisha magari yanafikia vigezo fulani tu.

Maana yake unaweza kuwa na gari yenye zaidi ya 300,000 km lakini inafanyiwa service vizuri na inapasi viunzi vyote vya Motor Vehicle Inspection.
 
Tukihamia kwenye trucks ni different story, Kuna tracks programming ya funguo inafika 10M kazi ambayo kwenye gari ndogo kwa gari nyingi haivuki hata laki 5
Hivi kujifunza programming ya funguo inachukua muda gani kama unajua coding kama c++?

Na vipi soko lake likoje kibongo bongo?
 
Sasa wale wa pesa za mavuno au mkopo wenye uelewa mdogo wa magari, anakuta garage gari la bei ndefu body mpya anapagawa kwa kuwa linauzwa bei rahisi anabeba

Gari ya milioni 40 huko uje uziwa kwa milioni 10 shtukaaa😄😄😄

Bora vits inayotembea kuliko hayo magari tajwa hapo juu, uendelee kulipaki hapo garage au ulikokote ukaliweke uwani, uweunalisho na kulila kwa macho tu!!😄😄😄
 
Back
Top Bottom