Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Wahi sana wala usijiulize mara 2, nzuri ni ile yenye 1800cc utapata nguvu na economy kwa pamoja. Usijiloge kununua ile ya 2000cc au D4. Haipendwi wala haiuziki.Wadau, nipeni elimu ya Premio. Sina utalaam na magari..ila soon Nataka kuchukua hii kitu.