BMW X6 ambazo bongo utabaki kuzisikia

BMW X6 ambazo bongo utabaki kuzisikia

Ni kweli... japo ukizungmzia x hio ni series za models... so chukua x series ya juu va LC ya juu....
vx-r ya 2022 imenyooka sana... top speed 260km/hr hapa mjapan katulia......
Yes. Kwanza X6 na LC haziko class moja. Labda X7 ndio walau anapambana na LC. Sasa mnyama 300 mmh! Ni balaa. Japo mie naona X7 inavutia zaidi kwa ndani.
 
Hii engine iko kwenye gari za GM nyingi tu kama Dodge, Chevrolet,GMC gari zao wameitumia hii engine!
SRT(Street and Race Technology)
Kuna muscle moja ni SRT itakuwa chevy demon ile... ile ndinga ilitengenezwa kufuta ndinga lolote quarter mile... sio Lambo, Bugatti ... nipo naziendesha hapa kwenye Forza Horizon...
 
M series ni expensive version ya Bmw , huwa zinatengenezwa idadi fulani tu, na huuzwa kwa watu ambao wana uwezo wa ku afford extra costs .
Si rahisi kuikuta M , series kwenye masoko ya Used
Zikicjoka hawauzi? Kama mtumba?
 
SRT(Street and Race Technology)
Kuna muscle moja ni SRT itakuwa chevy demon ile... ile ndinga ilitengenezwa kufuta ndinga lolote quarter mile... sio Lambo, Bugatti ... nipo naziendesha hapa kwenye Forza Horizon...
Kiuhalisia kwenye quarter mile ukiacha baadhi ya super na hyper cars.

Hakuna wa kumfikia Porsche 911 Turbo S. Huyu jamaa alishawakalisha hadi kina lambo na ferrari.
 
Kuna watu wanafikiri bmw x6 zile za beforward ndio toleo pekee la bmw x6...
Imefikia watu wanaanza hadi kuipambanisha x6 na v8...
Inabidi tuelewe kwa nini huyu mnyama ana heshima na vyeo kibao huko ughaibuni, ukiona bmw x6 inazungumziwa ni inatembea usifikiri ni hizi x6 za beforwad...
Ukweli ni kwamba huyu mnyama kuna toleo zake hata beforward sijaziona...

1-Kuna M Perfomance
View attachment 1913711
2-Kuna M competition

View attachment 1913712
View attachment 1913713


Ile ya Diamond ni ya kawaida, Tazama nyuma kwenye hio badge
View attachment 1913709
Wale wenye ndoto za kumiliki bmw x6 naamini wengi wenu mkijichanga mtaangukia kwa hio x6 ya kawaida lakini kuzungumzia m perfomance na m competition inakubidi uwe na mfuko haswa....

bmw x6 m competition inatembea 0-62 within 3.7 sec, 625 hp, wakati huo lamborghini huracan inatembea 0-62 within 3.4 sec,, hivyo x6 m comp inaweza ligi na super cars japo yenyewe ni SUV...
Kuhusu M Perfomance ina 4 sec 0-62...

Kuzitofautisha Tazama badge kwa nyuma, kuna m performance, m competition na kuna hizi za kawaida....
M competition imeandika X6m halafu chini kuna kimstari kimepita kimeandika competition...

Mnyama atabaki kuwa mnyama...
Tusimlinganishe na vitu vya kijinga....

View attachment 1913710
Tumilikini IST na Porte kwanza nduguzanguni halafu tuje kwenye Rav 4 na Klugger nk.. Baada ya hapo ndio tunaweza kuweka vikao vya BAMA hata hold model

Sent from my Infinix X692 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom