BMW X6 gari alilopewa Diamond kama zawadi ya Birthday


wewe ata baiskeli hauna mbona haujifichi.
 
Nilijua ni gari jipya, kumbe ni used ya hapa hapa Bongo, hongera zake lakini.
Na ile nyumba yake nayo ndio bado haijaisha tu? Au anajenga nyumba kubwa sana kama ile ya Bakhressa ya Masaki iliyo jirani na nyumba ya Lowassa aliyompangisha Balozi wa SA?
Ova
 

Siamini ninayoyaskia kutoka kwako, kwani nyumba lazima uishi wewe??
 
Siamini ninayoyaskia kutoka kwako, kwani nyumba lazima uishi wewe??

mkuu labda kuna wadudu wanamtafuna..ndo maana kufikisha 50yrs anaona km ndoto. Aishi kwa matumaini... nyumba ukijenga si lazima uishi ww tu.
 
hatukuwa wote nkizisaka iweje unipangie jinsi ya kutumia.
Huu msemo niliusikia kwenye track ya Ngwair- RIP na una ujumbe mzito.
 
ila sina wivu kama wewe.

mkuu sina wivu kabisa machalii wanatupeperushia vyema bendera ya taifa letu we kwa akili yako fikiria hatuna tena mtu yoyote anayetuwakilisha vema kimataifa zaidi ya Diamond alafu nimchukie ili iweje mkuu naomba ufute hiyo kauli yako moyoni mwako nadhani ulinielwa vibaya
 
Hii gari imeshashuka mpaka mil 60 hii tena ni ya 2005 lakini safi zawadi ni zawadi
 

Angekua na nyumba kma ya mzee w tubonge Ingekua shidaa
 

Attachments

  • 1412455642582.jpg
    58.8 KB · Views: 539
Hata share nazo zinaporomoka mbona marekani uchumi wake uliporomoka mwaka juzi lakini walikuwa wamejiashure mambo yapo safi mwacheni kijana sasa ni mda wake wa kukamua....
 

Take it very easy..hata usipopayuka tutakuelewa tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…