BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 5,532
- 14,164
Kuna ukweli hapa, sioni wa kushinda hata udiwani achilia mbali Ubunge.
😀😀
mbona mropokaji anaweweseka aise?🐒
KabisaWanajipa umuhimu ambao hata hawana, Ndio wanapotea jumla yani, na wake zao hawatakua COVID-19 tena maskini, anyway wana pension though
Hawakuwa na ndoto zaidi ya ruzuku😀Labda ndoto zao ilikuwa kuchukua tu fomu ya kugombea ubunge au udiwani kupitia chadema basi🤣🤣🤣
Ukweli kama huu wanaujua wachacheHakuna hela za CCM hapo ni tozo na kodi yako wewe hii nchii sio ya kuwa masikini.
Kila siku ... Tunaibiwa kuraa kumbe hata mkisimamia wenyewe hamuwezi kushinda.