😂😂😂
Usisahau kumalizia... "Wajinga ndio waliwao" kama methali zinavosemaHela za ccm zinaliwa kijinga sana
Kinabo nimemsikiliza mwanzo mwisho jamaa anajua kujenga hoja
Mzigo. Uliingizwa kwenye ACCOUNT YA KIGOGO WAO YA CHINAHela za ccm zinaliwa kijinga sana
Munde?!John Mrema huwa ananyooshwa na Yule dada mbunge wa Tabata 😂
Bona KaluaMunde?!
Wewe Dada punguza maneno, Kuna mahali alisema ana gombea? wewe utakuwa ni Demu wake basiHivi yeye anaweza kushinda? Takataka kabisa
Wewe Dada kwa akili zako za kuvukia barabara huna unacho elewa kaa kimyaKila siku ... Tunaibiwa kuraa kumbe hata mkisimamia wenyewe hamuwezi kushinda.
Mwaka jana au mwaka huu mwanzoni wakati wa kikao cha wajumbe Tarime alitangaza nia, tena alivyo mtu wa hovyo kabisa akasema kwa wajumbe kwamba kikao kikiiaha ana posho yao ya sodaWewe Dada punguza maneno, Kuna mahali alisema ana gombea? wewe utakuwa ni Demu wake basi
Hawa jamaa sasa wanaaibisha. Sababu walizotoa za kufikia uamuzi wao ni zaidi ya hiyo. Hata kama kwa mtazamo wao hawawezi kushinda bado wana haki ya kuwa na ndoto hiyo. wanaona wanaweza kushinda. Ndoto hizo zinastahili kuheshimiwa na sio kubezwa.