Fundi Mchundo
Platinum Member
- Nov 9, 2007
- 13,075
- 11,682
Ndiko mlikobakia. Character assassination.John Mrema huwa ananyooshwa na Yule dada mbunge wa Tabata 😂
Amandla...
Ndiko mlikobakia. Character assassination.John Mrema huwa ananyooshwa na Yule dada mbunge wa Tabata 😂
Broken record. You should be better than this.Hela za ccm zinaliwa kijinga sana
Hayo ni magalasa ingawa Mbowe kala pesa nyingi toka ccm kwa ajili ya kufanikisha ununuzi wao
Njaa mbaya sasa, Mbowe kaamua kula pesa za ccm akiwaaminisha ataidhoofisha chadema ili baadae afanye mapinduzi kama lipumba arejee kuwa mwenyekiti wa chadema tena kwa njia haramu za kishetaniMbona wana sura za kukata tamaa namna hiyo??
Ndio, anakubalika sana sababu ya historia ya Baba yake, kwenye chaguzi huru huyu anamuangusha mbunge wa tarime mjini!!Hivi yeye anaweza kushinda? Takataka kabisa
Ukishashijishwa ukuta unajua Kila mtu Ni dada.Wewe Dada kwa akili zako za kuvukia barabara huna unacho elewa kaa kimya