r.i.p bob..mzee alikuwa anapiga fegi balaa!poleni wapigania uhuru wote
POLEN SANA ndg na wanafamilia na CDM. Pumzika kwa aman mzee wetu
Wakati wa msiba mzito kama huu hatutegemei mzaha! kama alikuwa anapiga fegi wewe inakuhusuje? Ndugu jamaa na marafiki wanatarajia maneno ya kuwafariji kipindi hiki kigumu! R.I.P Mwenyekiti mstaafu wa CDM!!
Jamaa unahasira kweli, vipi kwani utani hauruhusiwi msibani? Anyway take it easy bro, utani ni sehemu ya kupunguza machungu kwa wafiwa.
kamanda mmoja akidondoka ,makamanda 10000 wanasonga.
R.I.P Kamanda.