R.I.P Mzee wetu Makani
Poleni wanachadema wote
What a coincidence - Katika kalenda ya CDM - picha yake kama kiongozi mstaafu(Mwenyekiti wa pili) wa CDM ipo katika page ya June 2012
Maneno haya yanasomeka katika ukurasa huo: "CHADEMA inaamini kwamba ili tuweze kutoka hapa tulipo, panahitajika uongozi wenye maono ya Kizalendo, uadilifu, makini na wenye upeo ambao utasimamia kikamilifu ufutailiaji na uvunaji wa rasilimali za nchi kwa manufaa ya nchi na watu wake"
Tunaamini wewe ulitupa hayo na uliiandaa vijana wakuitoa nchi hapo ilipo.
Mungu aiweke roho yako mahali pema peponi