LGE2024 Bob Wangwe aiomba Mahakama Kuu iizuie TAMISEMI kusimamia shughuli za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Kama kawaida yako unaandika takataka tu humu, kupoteza muda.
 
Bila samahani umeeleza vizuri japo ,ila kwa mashaka , siku zote wahuni sio watu wazuri, alafu kama utojali mkuu hivi mwenyekiti wako ccm tamka neno kwa kuna mbwa hawataki maendeleo yetu alimanisha nini ?
 
We muache tu kama kweli ni mmoja wa vibaka watekaji yupo na bahati mbaya siku sio nyingi,
 
Bila samahani umeeleza vizuri japo ,ila kwa mashaka , siku zote wahuni sio watu wazuri, alafu kama utojali mkuu hivi mwenyekiti wako ccm tamka neno kwa kuna mbwa hawataki maendeleo yetu alimanisha nini ?
that is just normal political statements by a politician,
I think politicians knows it,

but it might confuse some non politicians and couse head arc, mayhem and panic to activists with completely no impacts to the publicsπŸ’
 
Hakuna kitu ,all in all katumia maneno sehem ambayo sio sahii
 
Swala siyo wakala acha kuhalalisha wizi wa kura! Kura zinatakiwa zipigwe lakini taratibu kanuni na Sheria vizingatiwe. Wasimizi wasimamie wahesabu watoe taarifa sahihi siyo lazima wakala awepo. Acheni mawazo ya wizi,wizi,wizi,......
Sawa kiongozi kwa kuni elewesha πŸ™
 
that is just normal political statements by a politician,
I think politicians knows it,

but it might confuse some non politicians and couse head arc, mayhem and panic to activists with completely no impacts to the publicsπŸ’
Hii nayo ni lugha gani? Hiyo lugha hapo umeivuruga kwelikweli.
Damu za watu zinapita machoni, kiasi kwamba hata akili zinachanganyikiwa!

Sasa ndiyo umejiachia kabisa kuonyesha ngazi yako katika maisha. Bahati mbaya sana kwa nchi hii sasa kwamba aina ya watu kwenye ngazi za uongozi ni wa kiwango cha chini namna hii.
 
Hilo jopo la mawakili ni kiboko!

Itabidi Serikali iombe poo!😁
 
so umekua confused kama nilivyosema right?πŸ’

pole,
lakini hata hivyo zaid ya hapo hakuna athari kiutendaji au kisiasa kabisa..
serikali sikivu ya CCM chini ya kiongozi wetu makini, shupavu na kipenz cha waTanzania Dr Samia Suluhu Hassan ataendelea kuchapa kazi kwa weledi na uadilifu ili hatimae maendeleo ya kweli kwa waTanzania wote yapatikane πŸ’
 
Kesi ni tarehe 27/9 tayari tangazo la uchaguzi na mambo mengine litakuwa lilishatoka, hukumu yaweza kuwa january mwakani.
elezea vizuri gentleman,

huku ukiwa unafahamu kwamba maandalizi ya uchaguzi yanaendelea vizuri sana na hakuna namna yanaweza simama hadi 27, Nov 2024 uchaguzi utakapofanyika, huku maeneo yaliyofutwa hapatakua na uchaguzi au maandalizi ya uchaguzi ya aina yoyote kwasabb hakuna wananchi wanaoruhusiwa kuishi huko πŸ’
 
Najuwa, huyo unaye muita "...kiongozi wenu makini, shupavu na kipenzi chenu..." (siyo cha waTanzania), ndiye mungu wako anayekulazimisha kuja humu kila siku na kuweka takataka kama hizi.
Najuwa pia kwamba mnayo hofu kubwa sana sasa hivi kwa sababu mnaiona njia ya kuwaondoa madarakani ipo dhahiri kabisa.
Sasa basi, kama huko kichwani mwako bado kuna viakaili kidogo, nakushauri jambo muhimu hapa. Msithubutu kumwaga damu ya waTanzania wakati mking'ang'ania kubaki madarakani. Mkilazimisha hivyo yatawakuta makubwa.

Ngoja nimalize kwa kukufahamisha pia,kwamba napoteza muda mara kadhaa kukujibu hivi kwa sababu nategemea akili itawarudi na kuacha ushetani mnao ushikilia kulazimisha kubaki madarakani..

Baada ya hapa, nitaendelea na majibu yanayo kustahili kama kawaida. yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…