Bobi Wine apigwa risasi ya mguu katika vuta n'kuvute na polisi

From
ghetto to parliament
 
Kiongozi wa upinzani nchini Uganda Bobi wine ameshambuliwa kwa risasi na polisi Leo katika Jimbo la nsambya Leo mchana !! Majeraha ya risasi yameonekana kwenye mguu wake wa kushoto ! Polisi nchini Uganda hawajazumgumzia chochote kuhusiana na shambulio Hilo ,bobi wine amekimbizwa hospitali akiwa katika Hali mbaya ,mungu aisaidie east African
 
Your browser is not able to display this video.


Kiongozi wa upinzani wa Uganda, Robert Kyagulanyi, maarufu kama Bobi Wine amepigwa risasi ya mguuni na maafisa wa usalama katikati ya jiji la Kampala.
…
Bobi Wine kakimbizwa hospitalini kwajili ya matibabu.
 
Mods tafadhlini msi move huu uzi, ni majirani zetu na kuna baadhi ya mambo ya siasa we share common sufferings.

Your browser is not able to display this video.
 
Raisi mwanajeshi,ila siasa ngumu sana...
 
Mwanajeshi haamini Kama msanii wa mziki anaweza kupewa nchi.
 
Mods tafadhlini msi move huu uzi, ni majirani zetu na kuna baadhi ya mambo ya siasa we share common sufferings.

View attachment 3086211
Duh! Halafu tunataka tuharibu ustaarabu wetu wa kijamaa wa Kitanzania? Tuziheshimu 4R, CCM na wapinzani waendelee kupendana kama alivyofanya Mhe. Balozi Dk. Nchimbi kuwaombea kheri wanasiasa wenzake waliokuwa mahabusu Mbeya na kubwa tuwe na siasa zenye ajenda ya nchi si mgawanyiko.πŸ™πŸ™πŸ™
 
Hata Marekani, cha kwanza wanachotii ni maelekezo ya Polisi, hata kama huridhiki nayo. Kujidanganya kupambana nao kama chadema wanavyojazana upepo, hakuna dola itakuacha salama.

Cc: Mwembechai Saga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…