Bobi Wine apigwa risasi ya mguu katika vuta n'kuvute na polisi

Bobi Wine apigwa risasi ya mguu katika vuta n'kuvute na polisi

From

Msanii na kiongozi wa upinzani nchini Uganda, Boby Wine, apigwa risasi ya miguu akiwa katika hali ya vuta n'kuvute na polisi katika kijiji cha Bulindo nchini Uganda. Hivi sasa kiongozi huyo amekimbizwa hospitali kwa ajili ya matibabu.

Mwendesha ukarasa wa mtandao wa 'X' wa Boby Wine ametangaza kuwa polisi walimpiga msanii huyo risasi ya mguu.

Mpaka sasa hakuna taarifa yoyote iliyotolewa na polisi kuhusu tukio hilo.

---
Ugandan opposition figure Bobi Wine has been shot in the leg in a confrontation with police just outside the capital Kampala, his opposition group said.

Photos posted online showed Mr Wine surrounded by followers who shouted that he had been shot in the leg before some supported him into a waiting car.
His party, the National Unity Platform, holds the most seats of any opposition group in the national assembly.




National Unity Platform
The party said on X that Ugandan security operatives “have made an attempt on the life of” Mr Wine, whose real name is Kyagulanyi Ssentamu.

“He was shot in the leg and seriously injured in Bulindo, Wakiso District,” it said, referring to a town on the outskirts of the Ugandan capital.

Street confrontations between Mr Wine and the police have frequently descended into violence, but this is the first time he has been wounded in such a way.

There was no immediate comment from the police and other authorities.

Mr Wine ran for president in 2021, losing to President Yoweri Museveni in an election he claimed was rigged against him.

PIA SOMA
- Uganda: Polisi wapiga marufuku mikutano ya kisiasa ya Bobi Wine kwa madai ya kumtukana Rais Museveni

- Mikutano ya Hadhara ya Bobi Wine yasitishwa baada ya kudaiwa kusababisha Vifo
ghetto to parliament
 
Kiongozi wa upinzani nchini Uganda Bobi wine ameshambuliwa kwa risasi na polisi Leo katika Jimbo la nsambya Leo mchana !! Majeraha ya risasi yameonekana kwenye mguu wake wa kushoto ! Polisi nchini Uganda hawajazumgumzia chochote kuhusiana na shambulio Hilo ,bobi wine amekimbizwa hospitali akiwa katika Hali mbaya ,mungu aisaidie east African
Screenshot_20240903-211728.jpg
 


Kiongozi wa upinzani wa Uganda, Robert Kyagulanyi, maarufu kama Bobi Wine amepigwa risasi ya mguuni na maafisa wa usalama katikati ya jiji la Kampala.

Bobi Wine kakimbizwa hospitalini kwajili ya matibabu.
 
Mods tafadhlini msi move huu uzi, ni majirani zetu na kuna baadhi ya mambo ya siasa we share common sufferings.

 
Raisi mwanajeshi,ila siasa ngumu sana...
 
Mods tafadhlini msi move huu uzi, ni majirani zetu na kuna baadhi ya mambo ya siasa we share common sufferings.

View attachment 3086211
Duh! Halafu tunataka tuharibu ustaarabu wetu wa kijamaa wa Kitanzania? Tuziheshimu 4R, CCM na wapinzani waendelee kupendana kama alivyofanya Mhe. Balozi Dk. Nchimbi kuwaombea kheri wanasiasa wenzake waliokuwa mahabusu Mbeya na kubwa tuwe na siasa zenye ajenda ya nchi si mgawanyiko.🙏🙏🙏
 
Hata Marekani, cha kwanza wanachotii ni maelekezo ya Polisi, hata kama huridhiki nayo. Kujidanganya kupambana nao kama chadema wanavyojazana upepo, hakuna dola itakuacha salama.

Cc: Mwembechai Saga
 
Back
Top Bottom