DOKEZO Boda aliyemuingilia Mwanafunzi wa Darasa la 3 (mbele na nyuma) - Mbande, anatamba mtaani, hatuoni dalili ya haki

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'

Utakuwa una akili mbovu ama ni tahira, unaelewana vipi na mtoto mdogo kufanya ngono?
 
Ukimtia binti aliye chini ya umri wa miaka 18 hata kama uliona umemtongoza akakubali au alisikia utamu kesho akarudi tena huo ni ubakaji.

Hii ni kwakua mtu aliye chini ya umri wa miaka 18 anahesabiwa kua ni mtoto
 
Serikali yenyewe inateka, inatesa, inafira na kuua raia wake.

Unategemea haki itendeke kwa mtoto mbele ya serikali inayofira watu wake?

Mzazi, linda utu wa mwanao. Deal na mfiraji asiendelee kuharibu watoto wengine zaidi
 
Upo sahihi sana!
Mwakajana kuna kijana namfahamu alikutwa na hii kashfa, yeye alipelekwa mpaka Mahakamani ila Mazingira ya ushahidi wa kuthibitisha ilikuwa mtihani, huko sijui Zahanati walikopelekwa kujaza PF3 Dkt alikuwa kisanga, kwanza dkt hakuwa na Leseni, hakujaza Registration No. Yake na wakati wa cross examinatin alipoulizwa alijibu wakati wanasoma wao hawakuwa na uo utaratibu wa huo wa Reg No!
3. Sehemu ya maoni ya Dkt nini ameona kwenye vipimo aliend akucopy na kupaste maelezo ya walalamikaji, sehemu 3 ambayo practical inapaswa kifanyika kama kuna michubuko au majeraha, na ya muda gani yeye alisema hakujaza cos hizo sehemu hazihusuki uku akikiri kuwa mtoto aliingiziwa uume na hana Bikra na actually vipimo alifanya kama saa 2-3 zilipopita na mtoto wa miaka 5! Hakuwa na maumivu wala manii wala chochote kw amujibu wake ila anang'ang'ania kwenye maelezo ya mdomo kuwa huyu kwwli alimbaka mtoto! So wakati mwengine hiko vituo vya afya hakuna watu wenye sifa na ujuzi wa kujaza PF3.
 
Haki inatafutwa haijileti
Ni muda muafaka wa nyinyi kumpatia jamaa haki yake
 
Unachosema ni sahihi lakini si sahihi kwa sababu,mara nyingi sisi raia Kuna vitu hatuvifahamu na pia kwa kawaida wanasemaga muwamba ngoma huvutia kwake, kumuona huyo mtuhumiwa mtaan Wala sio kosa maana anakuwa yupo nje kisheria kama ulivyosema amedhaminiwa na dhaman ni haki ya mtuhumiwa yeyote kulingana na aina ya kosa hivyo kumuona huyo nje sio kwamba hamkutendewa haki, nyie jambo lenu linaendelea kisheria na yeye mtuhumiwa amepata haki yake ya dhaman kwaiyo jambo likishakaa sawa kwenye mamlaka ya kisheria yaan likiwa tayar jalada kwaajil ya kwenda kusikilizwa nyote mtaitwa hivyo mtuhumiwa huyo atafika mahakaman kujibu tuhuma zake lakini kusema kwamba hamtwndew haki au haki haijafatwa hapo Sina neno kikubwa fuaten maelekezo Kila kitu kitaenda sawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…