Mwamba wa Tanga
Member
- Apr 4, 2024
- 96
- 313
Nimeona Waziri anaehusika kashapata taarifa
Km Taifa, ikubali ushoga upo, na km inakataa basi ipinge marufuku mapenzi ya kinyume na maumbile, hii ya kusema wanawake ni sahihi kuingiliwa nyuma, eti kisa ni faragha yao wahusika, basi hizi case za ulawiti zitaendelea kudumu hadi mwisho was dahari..tuache unafiki,
Nipo Tz. Naelewa ninachoongea.Upo ulaya mkuu au china maana kama upo tanzania labda uwe hauna akili timamu ndio ulete hiyo hoja yako. Watu maelfu wamefungwa kwa kuwapa mabinti ujauzito bila kuhusisha DNA nadhangaa unatoa hoja kama hii,, zipo shahidicnyingine zinazoweza kumtia hatiani mhusika bila kuhusisha DNA
Kumuingilia mwanamke kinyume na maumbile ni kosa la kisheria linalokufunga miaka 30Km Taifa, ikubali ushoga upo, na km inakataa basi ipinge marufuku mapenzi ya kinyume na maumbile, hii ya kusema wanawake ni sahihi kuingiliwa nyuma, eti kisa ni faragha yao wahusika, basi hizi case za ulawiti zitaendelea kudumu hadi mwisho was dahari..tuache unafiki,
Dhamana ni haki ila kuna makosa mfano hilo ukiwa na hoja zenye nguvu hagewi dhamanaDhamana ni haki yake lakini kulipa kisasi ni haki yako pia
Sasa hapa nani mwenye kosa!Na akienda ndani naye analawitiwa.
Hii kesi inaenda kuisha kwa kulawitiana kulingana na nguvu zako.
So kwa mwanaume penyewe sio kosa?Kisheria ni kosa kumuingilia mwanamke kinyume na maumbile. Ukishtakiwa hiyo ni jinai
Aisee… Huyo jamaa inabidi buchaMdogo wangu wa darasa la tatu amefanyiwa ukatili wa kuingiliwa mbele na nyuma na mtu ambaye kwa sasa yupo nje kwa dhamana na tunaona dalili ya kutotendewa haki kutoka kwa mamlaka zinazohusika.
Wakati anatokewa na kadhia hiyo alikuwa Mwanafunzi wa Shule ya Msingi Kiponza iliyopo Mbande, alifanyiwa ukatili huo na kijana ambaye ni Bodaboda wa mtaani karibu na eneo la shule.
Tulianza kugundua kuna vitu havipo sawa kutokana na mtoto kuchelewa kurudi nyumbani, alipofika alikuwa anaonesha kuchoka kupita kiasi. Alipoulizwa, alitoa visingizio vya uongo kwamba alikuwa kwenye kundi la wanafunzi "10 bora" wanaobakishwa kwa ajili ya masomo ya ziada na walimu.
Hata hivyo, majibu hayo hayakuturidhisha kwa sababu tulikuwa na mawasiliano ya karibu na walimu, tulipowasiliana nao tukabaini hakukuwa na masomo hayo ya ziada.
Kuna siku tulimbana akasema alikuwa anafanyiwa vitendo hivyo vya ukatili wa kijinsia kama nilivyoeleza hapo juu, akamtaja kijana anayefahamika kwa jina la Abdul.
View attachment 3661842Akasema rafiki yake wa karibu wa darasa la tatu B ndiye aliyekuwa akimshawishi na kumpeleka kwa kijana huyo (Bodaboda), walifanyiwa vitendo hivyo katika jengo ambalo halijakamilika lipo karibu na eneo la shule, huku wimbi la vijana wengine wakilinda usalama nje kisha Boda huyo anampa fedha rafiki yake na kuwatisha kutosema popote.
Hii ni picha ya mtuhumiwa tuliyompiga akiwa Kituo cha Polisi.
Tulienda Shuleni, Mwalimu Mkuu ni Mwanamke, akawakagua akaona kweli inaonekana sehemu zao zimeingiliwa. Tukaripoti Polisi na tukafanikiwa kumkamata mtuhumiwa na mdogo wangu akamtambua.
Alipelekwa Kituo cha Polisi cha Mbande, watoto walioathirika walipewa Fomu ya PF3 na kupelekwa hospitali ambapo vipimo vya madaktari vilithibitisha wamefanyiwa ukatili huo.
Baada ya mtuhumiwa kushikiliwa, baadaye aliachiwa kwa dhamana bila sisi kupewa taarifa, pia hakukuwa na mwendelezo wowote wa kesi mahakamani. Hali hiyo imekuwa hivyo tangu Julai 2026 hadi sasa (Septemba 2026) hakuna hatua zozote za kisheria zilizochukuliwa, mtuhumiwa anaendelea kuwepo uraiani huru, hatujui anawaza nini.
Kutokana na hofu ya usalama wa mtoto, mazingira magumu ya shule, kuogopa mtuhumiwa anaweza kumfanyia jambo baya zaidi, tulichukua hatua ya haraka ya kumhamisha mdogo wangu shule na kumpeleka mkoa mwingine kuendelea na masomo.
Tunaomba mamlaka zinazohusika zichukue hatua, kwani kama sisi tumebaini waliofanyiwa ni wawili, je kuna wangapi ambao hawajabainika? Kwa nini Vyombo vya Usalama vinachukulia poa jambo hilo au kwa kuwa hawajafanyiwa watoto wao? Inaumiza sana hii.
Kisheria ni kosa kumuingilia mwanamke kinyume na maumbile. Ukishtakiwa hiyo ni jinai
kwenye kusikia , mengi tunasikia hadi unayesikia kutoka kwake kikawaida naye amesikiaHUJAWAI SIKIA MTU KAPOTEZWA NYETI AU WAKA IPALALYZED
Mdogo wangu wa darasa la tatu amefanyiwa ukatili wa kuingiliwa mbele na nyuma na mtu ambaye kwa sasa yupo nje kwa dhamana na tunaona dalili ya kutotendewa haki kutoka kwa mamlaka zinazohusika.
Wakati anatokewa na kadhia hiyo alikuwa Mwanafunzi wa Shule ya Msingi Kiponza iliyopo Mbande, alifanyiwa ukatili huo na kijana ambaye ni Bodaboda wa mtaani karibu na eneo la shule.
Tulianza kugundua kuna vitu havipo sawa kutokana na mtoto kuchelewa kurudi nyumbani, alipofika alikuwa anaonesha kuchoka kupita kiasi. Alipoulizwa, alitoa visingizio vya uongo kwamba alikuwa kwenye kundi la wanafunzi "10 bora" wanaobakishwa kwa ajili ya masomo ya ziada na walimu.
Hata hivyo, majibu hayo hayakuturidhisha kwa sababu tulikuwa na mawasiliano ya karibu na walimu, tulipowasiliana nao tukabaini hakukuwa na masomo hayo ya ziada.
Kuna siku tulimbana akasema alikuwa anafanyiwa vitendo hivyo vya ukatili wa kijinsia kama nilivyoeleza hapo juu, akamtaja kijana anayefahamika kwa jina la Abdul.
View attachment 3661842Akasema rafiki yake wa karibu wa darasa la tatu B ndiye aliyekuwa akimshawishi na kumpeleka kwa kijana huyo (Bodaboda), walifanyiwa vitendo hivyo katika jengo ambalo halijakamilika lipo karibu na eneo la shule, huku wimbi la vijana wengine wakilinda usalama nje kisha Boda huyo anampa fedha rafiki yake na kuwatisha kutosema popote.
Hii ni picha ya mtuhumiwa tuliyompiga akiwa Kituo cha Polisi.
Tulienda Shuleni, Mwalimu Mkuu ni Mwanamke, akawakagua akaona kweli inaonekana sehemu zao zimeingiliwa. Tukaripoti Polisi na tukafanikiwa kumkamata mtuhumiwa na mdogo wangu akamtambua.
Alipelekwa Kituo cha Polisi cha Mbande, watoto walioathirika walipewa Fomu ya PF3 na kupelekwa hospitali ambapo vipimo vya madaktari vilithibitisha wamefanyiwa ukatili huo.
Baada ya mtuhumiwa kushikiliwa, baadaye aliachiwa kwa dhamana bila sisi kupewa taarifa, pia hakukuwa na mwendelezo wowote wa kesi mahakamani. Hali hiyo imekuwa hivyo tangu Julai 2026 hadi sasa (Septemba 2026) hakuna hatua zozote za kisheria zilizochukuliwa, mtuhumiwa anaendelea kuwepo uraiani huru, hatujui anawaza nini.
Kutokana na hofu ya usalama wa mtoto, mazingira magumu ya shule, kuogopa mtuhumiwa anaweza kumfanyia jambo baya zaidi, tulichukua hatua ya haraka ya kumhamisha mdogo wangu shule na kumpeleka mkoa mwingine kuendelea na masomo.
Tunaomba mamlaka zinazohusika zichukue hatua, kwani kama sisi tumebaini waliofanyiwa ni wawili, je kuna wangapi ambao hawajabainika? Kwa nini Vyombo vya Usalama vinachukulia poa jambo hilo au kwa kuwa hawajafanyiwa watoto wao? Inaumiza sana hii.
Waziri aingilia ~ Waziri Gwajima aingilia hoja ya Mdau aliyedai mtuhumiwa aliyemfanyia ukatili mtoto anatamba mtaani