Lax
JF-Expert Member
- Feb 10, 2022
- 12,297
- 18,156
uchawi una nguvu zipi?Ishu ni umasikini!
Ili uishi vizuri nashauri umiliki kimoja kati ya hivi:-
NGUVU (ya akili na mwili)
PESA
UCHAWI
hapo utaishi vizuri.
uchawi una nguvu zipi?Ishu ni umasikini!
Ili uishi vizuri nashauri umiliki kimoja kati ya hivi:-
NGUVU (ya akili na mwili)
PESA
UCHAWI
hapo utaishi vizuri.
Mnashindwa Nini kumuaMdogo wangu wa darasa la tatu amefanyiwa ukatili wa kuingiliwa mbele na nyuma na mtu ambaye kwa sasa yupo nje kwa dhamana na tunaona dalili ya kutotendewa haki kutoka kwa mamlaka zinazohusika.
Wakati anatokewa na kadhia hiyo alikuwa Mwanafunzi wa Shule ya Msingi Kiponza iliyopo Mbande, alifanyiwa ukatili huo na kijana ambaye ni Bodaboda wa mtaani karibu na eneo la shule.
Tulianza kugundua kuna vitu havipo sawa kutokana na mtoto kuchelewa kurudi nyumbani, alipofika alikuwa anaonesha kuchoka kupita kiasi. Alipoulizwa, alitoa visingizio vya uongo kwamba alikuwa kwenye kundi la wanafunzi "10 bora" wanaobakishwa kwa ajili ya masomo ya ziada na walimu.
Hata hivyo, majibu hayo hayakuturidhisha kwa sababu tulikuwa na mawasiliano ya karibu na walimu, tulipowasiliana nao tukabaini hakukuwa na masomo hayo ya ziada.
Kuna siku tulimbana akasema alikuwa anafanyiwa vitendo hivyo vya ukatili wa kijinsia kama nilivyoeleza hapo juu, akamtaja kijana anayefahamika kwa jina la Abdul.
View attachment 3661842Akasema rafiki yake wa karibu wa darasa la tatu B ndiye aliyekuwa akimshawishi na kumpeleka kwa kijana huyo (Bodaboda), walifanyiwa vitendo hivyo katika jengo ambalo halijakamilika lipo karibu na eneo la shule, huku wimbi la vijana wengine wakilinda usalama nje kisha Boda huyo anampa fedha rafiki yake na kuwatisha kutosema popote.
Hii ni picha ya mtuhumiwa tuliyompiga akiwa Kituo cha Polisi.
Tulienda Shuleni, Mwalimu Mkuu ni Mwanamke, akawakagua akaona kweli inaonekana sehemu zao zimeingiliwa. Tukaripoti Polisi na tukafanikiwa kumkamata mtuhumiwa na mdogo wangu akamtambua.
Alipelekwa Kituo cha Polisi cha Mbande, watoto walioathirika walipewa Fomu ya PF3 na kupelekwa hospitali ambapo vipimo vya madaktari vilithibitisha wamefanyiwa ukatili huo.
Baada ya mtuhumiwa kushikiliwa, baadaye aliachiwa kwa dhamana bila sisi kupewa taarifa, pia hakukuwa na mwendelezo wowote wa kesi mahakamani. Hali hiyo imekuwa hivyo tangu Julai 2026 hadi sasa (Septemba 2026) hakuna hatua zozote za kisheria zilizochukuliwa, mtuhumiwa anaendelea kuwepo uraiani huru, hatujui anawaza nini.
Kutokana na hofu ya usalama wa mtoto, mazingira magumu ya shule, kuogopa mtuhumiwa anaweza kumfanyia jambo baya zaidi, tulichukua hatua ya haraka ya kumhamisha mdogo wangu shule na kumpeleka mkoa mwingine kuendelea na masomo.
Tunaomba mamlaka zinazohusika zichukue hatua, kwani kama sisi tumebaini waliofanyiwa ni wawili, je kuna wangapi ambao hawajabainika? Kwa nini Vyombo vya Usalama vinachukulia poa jambo hilo au kwa kuwa hawajafanyiwa watoto wao? Inaumiza sana hii.
Mzee wangu inaumiza Bora umroge au umchinje?!Ngono kwa mtoto wa darasa 3 huwa ni imani za kishirikina ama wenzetu huwa mnakuwa mmetumia madawa ya kulevya kufanya hayo?
Ningekuwa ni mzazi wa huyo binti, ningempoteza mwenyewe huyo bodaboda
Nisingekubali binti yangu afanyiwe hayo na Mimi Baba yake nibaki kumwachia Mungu
Wasiojulikana, kama mzazi nisingehimili hayo maumivu ya kushuhudia binti yangu kifanyiwa huo ufirauniMzee wangu inaumiza Bora umroge au umchinje?!
Ni vitendo vya kinyama visivyo mithilika.Wasiojulikana, kama mzazi nisingehimili hayo maumivu ya kushuhudia binti yangu kifanyiwa huo ufirauni
Dah miyeyushoMdogo wangu wa darasa la tatu amefanyiwa ukatili wa kuingiliwa mbele na nyuma na mtu ambaye kwa sasa yupo nje kwa dhamana na tunaona dalili ya kutotendewa haki kutoka kwa mamlaka zinazohusika.
Wakati anatokewa na kadhia hiyo alikuwa Mwanafunzi wa Shule ya Msingi Kiponza iliyopo Mbande, alifanyiwa ukatili huo na kijana ambaye ni Bodaboda wa mtaani karibu na eneo la shule.
Tulianza kugundua kuna vitu havipo sawa kutokana na mtoto kuchelewa kurudi nyumbani, alipofika alikuwa anaonesha kuchoka kupita kiasi. Alipoulizwa, alitoa visingizio vya uongo kwamba alikuwa kwenye kundi la wanafunzi "10 bora" wanaobakishwa kwa ajili ya masomo ya ziada na walimu.
Hata hivyo, majibu hayo hayakuturidhisha kwa sababu tulikuwa na mawasiliano ya karibu na walimu, tulipowasiliana nao tukabaini hakukuwa na masomo hayo ya ziada.
Kuna siku tulimbana akasema alikuwa anafanyiwa vitendo hivyo vya ukatili wa kijinsia kama nilivyoeleza hapo juu, akamtaja kijana anayefahamika kwa jina la Abdul.
View attachment 3661842Akasema rafiki yake wa karibu wa darasa la tatu B ndiye aliyekuwa akimshawishi na kumpeleka kwa kijana huyo (Bodaboda), walifanyiwa vitendo hivyo katika jengo ambalo halijakamilika lipo karibu na eneo la shule, huku wimbi la vijana wengine wakilinda usalama nje kisha Boda huyo anampa fedha rafiki yake na kuwatisha kutosema popote.
Hii ni picha ya mtuhumiwa tuliyompiga akiwa Kituo cha Polisi.
Tulienda Shuleni, Mwalimu Mkuu ni Mwanamke, akawakagua akaona kweli inaonekana sehemu zao zimeingiliwa. Tukaripoti Polisi na tukafanikiwa kumkamata mtuhumiwa na mdogo wangu akamtambua.
Alipelekwa Kituo cha Polisi cha Mbande, watoto walioathirika walipewa Fomu ya PF3 na kupelekwa hospitali ambapo vipimo vya madaktari vilithibitisha wamefanyiwa ukatili huo.
Baada ya mtuhumiwa kushikiliwa, baadaye aliachiwa kwa dhamana bila sisi kupewa taarifa, pia hakukuwa na mwendelezo wowote wa kesi mahakamani. Hali hiyo imekuwa hivyo tangu Julai 2026 hadi sasa (Septemba 2026) hakuna hatua zozote za kisheria zilizochukuliwa, mtuhumiwa anaendelea kuwepo uraiani huru, hatujui anawaza nini.
Kutokana na hofu ya usalama wa mtoto, mazingira magumu ya shule, kuogopa mtuhumiwa anaweza kumfanyia jambo baya zaidi, tulichukua hatua ya haraka ya kumhamisha mdogo wangu shule na kumpeleka mkoa mwingine kuendelea na masomo.
Tunaomba mamlaka zinazohusika zichukue hatua, kwani kama sisi tumebaini waliofanyiwa ni wawili, je kuna wangapi ambao hawajabainika? Kwa nini Vyombo vya Usalama vinachukulia poa jambo hilo au kwa kuwa hawajafanyiwa watoto wao? Inaumiza sana hii.
HUJAWAI SIKIA MTU KAPOTEZWA NYETI AU WAKA IPALALYZEDuchawi una nguvu zipi?
wacha weeehHawa vijana sijui wamerogwa!
Mimi mbunye yangu ina ugwadu kilo saba na robo, kwanini asije kwangu nimtunuku badala ya kwenda kwa vitoto!
Kama makebo ninayo mashallah nimebarikiwa!
Anakwama wapi!
Upo ulaya mkuu au china maana kama upo tanzania labda uwe hauna akili timamu ndio ulete hiyo hoja yako. Watu maelfu wamefungwa kwa kuwapa mabinti ujauzito bila kuhusisha DNA nadhangaa unatoa hoja kama hii,, zipo shahidicnyingine zinazoweza kumtia hatiani mhusika bila kuhusisha DNAKwanza kabisa pole mkuu.
Wewe na familia yako poleni sana. Mmefanya vizuri kumuondoa binti hapo lakini kuna kitu naomba niseme.
Mwongozo wa kushughulikia sexual assaults za hivi unataka aliyefanyiwa apelekwe hospital au kituo cha polisi ndani ya siku tatu tangu tukio litokee.
Akiwa hajajisafisha na akiwa kama alivyo.
Ndani ya siku tatu ili kumpa dawa za kumkinga na ukimwi lakini pia ili kuweza kuona sehemu za siri za mhusika zipoje. Mfano kukagua michubuko au damu na ikiwezekana kuchunguza kama kuna shahawa zimebaki.
Hii husaidia hata kipimo cha dna.
Ukipita muda sana ni itaonekana kweli binti kaingiliwa, wataona hakuna bikra na sehemu ya nyuma ipo loose, ila kuhitimisha kwamba aliyefanya ni fulani na siyo fulani itabaki kua changamoto.
Nafikiri hii ndiyo sababu huyo jamaa yupo nje na kesi inakua ngumu kuendelea. Kwa sababu hapo inakua ni mtuhumiwa kukiri, asipokiri, ushahidi wa nguvu unakosekana.
Poleni sana wakuu
nakazia otherwise wanafurahia
nategemea kusikia habari mpya kutoka mbande khs huyo kijanaHadi sasa hakuna njia mbadala mlizozitumia?
Yaani jinai ya ubakaji mtu apewe dhamana!!
safi kabisa, huyu mama acha tu hapoiMama Gwajima kasema afikishiwe Taarifa sahihi za hili jambo kwake, kaweka mawasiliano hapo.
Haya muhusika fanya kumpa dodoso waziri mwenye dhamana.
Utafiti wa serikali(wizara ya maendeleo ya jamii, jinsia na watoto wakati ule)inasema robo tatu ya wasichana wanasema kwamba walipofanya ngono mara ya kwanza,walilazimishwa au kubakwa..Ila dogo keshazoea maana kama hakuja ripoti hadi mlipomtisha, maana yake alipenda mchezo.
Ila darasa la 3 si ana miaka 8 hadi 9
Tayari wahuni wamekula pote.
Tutapata wapi bikra jamani