DOKEZO Boda aliyemuingilia Mwanafunzi wa Darasa la 3 (mbele na nyuma) - Mbande, anatamba mtaani, hatuoni dalili ya haki

DOKEZO Boda aliyemuingilia Mwanafunzi wa Darasa la 3 (mbele na nyuma) - Mbande, anatamba mtaani, hatuoni dalili ya haki

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Yaani huko ni gizani kabisa ila najiuliza kitoto cha darasa la tatu inaingia vizuri kabisa mbona nashindwa kuelewa mmmmh
Mimi pia nashangaa sana, inakuaje mtu kupata hamu ya watoto wadogo ivyoo

Huyo jamaa ukiangalia picha anaonyesha MIDOMO INAVUTA BANGI PIA HATA IZO NYWELE UKIZIONA NI BANGI TUPU.
 
sheria Tanzania inaruhusu binti wa miaka 14 kuolewa,Rebecca akasema miaka 14 ni ubakaji angalau iwe miaka 18..akashinda kesi..

Serikali ikakata rufaa ikashinda...
Duuh,
Huo ni uhalifu dhidi ya watoto, ni maajabu kuwa serikali ilihusika kuhalalisha
 
Mkuu ume mtag gwajima??serikali hii haina maana,mambo hayo wala hawayachukulii kwa uzito usishangae mualifu kua nje

Mwaka 2016 kuna dada mwenye Taasi ya msichana initiative Rebecca Gyumi alifungua kesi dhidi ya serikali kubadilisha sheria ya ndoa kwa watoto,sheria Tanzania inaruhusu binti wa miaka 14 kuolewa,Rebecca akasema miaka 14 ni ubakaji angalau iwe miaka 18..akashinda kesi..

Serikali ikakata rufaa ikashinda...
Mkuu sidhani kama serikali ilishinda. Ngoja nirefresh memory, ninachojua serikali ilipewa mwaka mmoja kufanya marekebisho ambayo mpaka leo hawajafanya
 
Mkuu sidhani kama serikali ilishinda. Ngoja nirefresh memory, ninachojua serikali ilipewa mwaka mmoja kufanya marekebisho ambayo mpaka leo hawajafanya
Serikali ilikata rufaa lakini ikashindwa tena kwenye mahakama ya rufaa ya Tanzania (court of appeal of Tanzania).
Cha kusikitisha serikali yaijafanyia marekebisho sheria mpaka Leo ili umri wa ndoa uwe miaka 18. Hata hivyo pamoja na kutokufanya marekebisho vifungu hivyo ni kinyume na katiba, hivyo mahakama haitavienforce.
 
Mkuu sidhani kama serikali ilishinda. Ngoja nirefresh memory, ninachojua serikali ilipewa mwaka mmoja kufanya marekebisho ambayo mpaka leo hawajafanya
Sawa mkuu,ukipata jibu niambie kulikua na haja gani ya serikali kukataa rufaa??cha zaidi walichokua wanataka ni nini?au takwa la Rebecca halikua kulinda watoto?Nia ya serikali ni nini?
 
Sawa mkuu,ukipata jibu niambie kulikua na haja gani ya serikali kukataa rufaa??cha zaidi walichokua wanataka ni nini?au takwa la Rebecca halikua kulinda watoto?Nia ya serikali ni nini?
Serikali walitaka umri ubaki 14, 15 na 16. Kwa kigezo cha Mila, kulinda kuzaa kabla ya ndoa na bla bla.
Hata hivyo baada ya kukata rufaa na kushindwa ajabu ni kwamba amri ya mahakama mpaka Leo haijafanyiwa kazi. Miaka mingi tu baadae
 
Kwa utawala huu w chura aka kizimkazi sioni haki ikionekana ikitendeka poleni sana. Ila fanyeni jambo la kimila.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Mkuu nchi yetu bado kuna jamii zimelala fofofo, hazijitambui kabisa. Angalia kesi kama hii mtaa mzima unakaa na kuangalia tu.

Ufanyaje? Na hapo ni kwa kuwa mtoto was kike ndio kafanyiwa ukatili huo, ila angekua was kiume ungeona jamii nzima inalipuka kwa jazba juu ya huyo kijana.

Yaan watoto was kike wamefanywa ni chombo cha starehe, nina ushuhuda ba hiki nachosema.
 
Uko nchi gani wewe? Hujui vyombo vya ulinzi vya Bongo ndiyo vinaongoza kwa ulawiti? Halafu hili jina la Abdul lina laana na ulawiti. Abdul wa ki-mama ndiyo kiongozi wa walawiti na Abdul bodaboda ni mlawiti wa watoto.

😂😂😂😂
 
Mimi pia nashangaa sana, inakuaje mtu kupata hamu ya watoto wadogo ivyoo

Huyo jamaa ukiangalia picha anaonyesha MIDOMO INAVUTA BANGI PIA HATA IZO NYWELE UKIZIONA NI BANGI TUPU.

Bangi, visungura na uchafu mwingine.
 
Hawa vijana sijui wamerogwa!

Mimi mbunye yangu ina ugwadu kilo saba na robo, kwanini asije kwangu nimtunuku badala ya kwenda kwa vitoto!

Kama makebo ninayo mashallah nimebarikiwa!

Anakwama wapi!

Wizzo siku hizi wanawataka watoto, wenyewe wanasema kitu NEw.
Vijana wamechachuka hatariii.
 
Km Taifa, ikubali ushoga upo, na km inakataa basi ipinge marufuku mapenzi ya kinyume na maumbile, hii ya kusema wanawake ni sahihi kuingiliwa nyuma, eti kisa ni faragha yao wahusika, basi hizi case za ulawiti zitaendelea kudumu hadi mwisho was dahari..tuache unafiki,
 
Ngono kwa mtoto wa darasa 3 huwa ni imani za kishirikina ama wenzetu huwa mnakuwa mmetumia madawa ya kulevya kufanya hayo?

Ningekuwa ni mzazi wa huyo binti, ningempoteza mwenyewe huyo bodaboda

Nisingekubali binti yangu afanyiwe hayo na Mimi Baba yake nibaki kumwachia Mungu
 
Back
Top Bottom