Afcon kinanuka
JF-Expert Member
- Apr 5, 2026
- 1,623
- 4,213
Uko sahihi Msumbiji wananchi wengi wana magari yao binafsi, na km sivyo usafiri wa umma ni ma bus au coaster.Mozambique hakuna bodaboda.kule walipiga marufuku na wakapunguza kodi ya magari pamoja na bajaji.watu wa msumbiji wengi wanamiliki magari tofauti na sisi kodi ya gari ni sawa na bei uliyonunulia huko ulaya
Mkuu kipindi icho tulikua tunatumia baiskeli, kama hamna baiskeli basi kutembea kilomita 5 mpaka 10 haikua issue.Hivi kwani kabla ya bodaboda tuliishije? Au kuna ongezeko la watu kiasi inalazimika kutumia bodaboda?
Kabla ya bodaboda watu waliishije? Hizo takataka zinaongeza vilema na vifo tu.Alafu utatuajiri kwenye biashara zako mkuu?? Au ndo tukianza kuwapiga kabari za mbao mnaanza kuleta nyuzi kuwa vijana hawafanyi kazi
Kuna ka generation hakawezi kutembea hata 500m lazima apande bodaboda.Hivi kwani kabla ya bodaboda tuliishije? Au kuna ongezeko la watu kiasi inalazimika kutumia bodaboda?
Dah,Kuna ka generation hakawezi kutembea hata 500m lazima apande bodaboda.
Kizazi legelege. No wonder wanateseka na magonjwa ya wazee ujanani.Dah,
Hatari sana.
Mimi nipo Marekani lakini natembea 5 miles (miles, not km) kila siku Jumatatu mpaka Ijumaa.
Tena kwa kutaka mwenyewe tu kwa mazoezi.
Ukimwambia aendeshe Pole Pole na awe mstaaharabu hakuelewi kwani?Juzi nilipanda Moja naenda kariakoo aisee hadi nafika nilisema Asante Mungu
Njiani anapokea sim anaweka kwenye kofia anaanza kelele
Kamuona dada kwenye boda nyingine anasogelea ampige Kofi la mgongo wanaanza story
Uzoefu wa barabara zero kabisa
Anyway pole mno kwa wafiwa kwa kweli ni vifo vibaya maana ni ghafla sana
Mkuu tatizo ni nchi yetu kuwa na upungufu wa ajira kwa vijana na hata miaka ya nyuma kabla ya boda boda kumbuka vijana waliamua kujiajiri kwenye Daladala za baiskeli. Kwa hiyo tusilaumu boda boda na mkiwalaumu au kutaka kusitisha hiyo ajira Yao je mmewawekea mazingira yapi baada ya kuacha kazi ya boda boda? Au tuhamie kwenye ujambazi muanze kulala saa 12 kama kipindi kile cha panya road.Kabla ya bodaboda watu waliishije? Hizo takataka zinaongeza vilema na vifo tu.
U driver ni tabia hata ukiambiwa unajirekebisha kwa hatua chache Kisha unarudia tabia Yako nilimpa tahadhari Kila mara ila alikuwa anarejea kile kileUkimwambia aendeshe Pole Pole na awe mstaaharabu hakuelewi kwani?
Ankali Hospital watu wanakufa kama majani ya mwarobaini yanavyondondoka wakati wa kiangazi.Miezi, kwanini wauliza hivi mpwa?