Mkunazi Njiwa
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 8,538
- 7,559
Kapelekwa polisi sasa kelele za nini ?!!
Sisi wananchi hatuna haki ya kutii kukamatwa na polisi wetu?!!
Sisi wananchi hatuna haki ya kutii kukamatwa na polisi wetu?!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chadema wana changamoto kwenye vichwa vyaoKapelekwa polisi sasa kelele za nini ?!!
Sisi wananchi hatuna haki ya kutii kukamatwa na polisi wetu?!!
Detention Register dogo walimrukisha. Yaani .Pale kituoni Polisi sikupelekwa counter kuandikshwa bali nilipitishwa uani na kuingizwa katika ofisi na kutupwa chini nyuma ya meza ili nisionekane wakati ndugu na marafiki waliopokuwa wanafutilia nipo kituo gani cha polisi
Luca leo hata lala usingizi.....anatetea watekaji bila aibuWanaoiba mabilioni wanalindwa, haya lile li luka lishamba lilivyoshadadia hovyo kabisa.
Bila kele za mitandaoni Aisew huyu Dogo angesahaulika.Polisi walisema walikuwa wakimtafuta muda mrefu, ameachiwaje tena?
Mlitaka kumuua na huyo dogo?Chadema wana changamoto kwenye vichwa vyao
Nashauri hospitali ya vichaa mirembe ifungue matawi kila lilipo tawi na la Chadema kusogeza huduma karibu na wateja wao
Kwanini hakuandikishwa Detention register? Malengo yalikuwa nini? Mbona inafanana na tulio la Sativa?Kapelekwa polisi sasa kelele za nini ?!!
Sisi wananchi hatuna haki ya kutii kukamatwa na polisi wetu?!!
Sheria inasema polisi wajitambulishe ikiwezekana watoe hata vitambulisho wakija kukukamata. Wao wanavunja sheria wanazotakiwa kuzilinda.Mfano huyo angesema natekwa halafu wananchi hawamjui wakawashambulia na kuua hao polisi unajua nini kingewapata hao wananchi baadaye huyo mtu wakiambiwa alikuwa jambazi wakimkimbiza
Wao watahesabika sehemu ya huyo jambazi na kupewa kesi ya mauaji ya kuua polisi
Njia nzuri kwenye hilo ni kupiga simu polisi upesi au kuripoti kituo cha polisi cha karibu upesi au kwa mjumbe au kiongozi wa mtaa eneo hilo haraka haraka sana kwa simu au bodaboda anakimbia haraka kuripoti
Usichukue sheria mkononi hata apige kelele anatekwa
Kama huna uhakika hao wanabeba ni polisi au la na huna uhakika kama huyo mlia natekwa ni raia mwema au la tumia hizo nimekupa kama raia mwema unayeona tukio
Usitoe maamuzi haraka kuwa wake ni polisi au la na kuwa yule ni raia mwema au la
Ukachukua hatua kipofu pofu yaweza kukugharimu ikithibitika hatua uliyochukua sio kama ulivyochukua sababu ya mihemko ya kichadema maamuzi ukaozea jela au kunyongwa kwa kununua kesi isiyo yako na kuchukua hatua mbaya
Huyo kijana ni mhalifu anatuhumiwa kupora na kutumia pikipiki kukimbia....pikipiki yake anaikunja "plate number"....Wanaoiba mabilioni wanalindwa, haya lile li luka lishamba lilivyoshadadia hovyo kabisa.
Kitu gani kinakufanya ujue kuwa hao ni polisi. Hawajitambulishi, hawana gari lenye plate number za polisi, hawana uniform, wana rasta sasa wewe unajuaje kuwa ni polisi. Na ni jambo gani liliwashinda kuwambia wananchi waliouliza wao ni akina nani kuwa wao ni polisi na hata wakaonyesha vitambulisho?Hii tabia ya WAHALIFU kukaidi kukamatwa kisheria na polisi wetu na kuwasingizia kuwa "hawajulikani" inaendelea kuota MIZIZI........
Tuikemee kwa nguvu zote kwani itakwenda kuhatarisha usalama wa polisi wetu wanaofanya kazi ngumu......
#Kemea Wahalifu Kutotaka kukamatwa !!
#Kemea kuwaita polisi wetu kuwa hawajulikani !
Ha ha ha hakika jamaa hawa wanastahili kutibiwa katika hizo hospitali......Chadema wana changamoto kwenye vichwa vyao
Nashauri hospitali ya vichaa mirembe ifungue matawi kila lilipo tawi na la Chadema kusogeza huduma karibu na wateja wao
Wale polisi "anti-robbery" wanakuwa na uniform na utambulisho usemao ?!!Kitu gani kinakufanya ujue kuwa hao ni polisi. Hawajitambulishi, hawana gari lenye plate number za polisi, hawana uniform, wana rasta sasa wewe unajuaje kuwa ni polisi. Na ni jambo gani liliwashinda kuwambia wananchi waliouliza wao ni akina nani kuwa wao ni polisi na hata wakaonyesha vitambulisho?
Porojo za somo la kisheria za mwaka wa kwanza degree ya sheria hizo inategemea mazingira sio yote yako hivyo na vi notes vyako ulivyokariri mwaka wa kwanza degree ya sheria ufaulu kimtihani cha semester ya kwanzaSheria inasema polisi wajitambulishe ikiwezekana watoe hata vitambulisho wakija kukukamata. Wao wanavunja sheria wanazotakiwa kuzilinda.
Ipo siki watakungutwa zaidi.
Sasa hapo wanakamata mtu asiye na silaha hadharani, watu wanauliza kuna shida gani kuwambia kuwa wao ni polisi na wakaonyesha vitambulisho?Wale polisi "anti-robbery" wanakuwa na uniform na utambulisho usemao ?!!
Mkuu mbona siasa hata kwenye masuala nyeti ya polisi wetu ?!!
Wenzako wana LaanaWanaoiba mabilioni wanalindwa, haya lile li luka lishamba lilivyoshadadia hovyo kabisa.
Huyo kijana ni mhalifu anatuhumiwa kupora na kutumia pikipiki kukimbia....pikipiki yake anaikunja "plate number"....
Mimi sijasoma sheria. Ila kuna shida gani wakijitambulisha kwa waliokuwa wanawauliza? Hawakuwa wakirushiana risasi na majambazi, mtuhumiwa alikuwa ashadhibitiwa. Narudia tena kwa jinsia walivyokuwa unawatifautishaje na watekaji?Porojo za somo la kisheria za mwaka wa kwanza degree ya sheria hizo inategemea mazingira sio yote yako hivyo na vi notes vyako ulivyokariri mwaka wa kwanza degree ya sheria ufaulu kimtihani cha semester ya kwanza