Benny Haraba
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 13,336
- 12,370
Mimi niliporwa simu morogoro tarehe 29-12-2021 maeneo ya magereza nikiwa kwenye bajaji nilikaa nyuma upande wa kushoto hadi leo simu haijapatikana,Hawa bodaboda wakwapua vitu akina mama ndio wahanga wakubwa na pochi zao
husogeza pikipiki akiwa mwanamke amebeba pochi yake akiwa anatembea kwa miguu au akiongea na simun hunyakua kwa spidi ya mwewe na kukimbia na pikipiki
Wanawake wanawajua vizuri asante jeshi la polisi
Majambazi ya Chadema na watetezi wa hao Majambazi walioko Chadema hawajui hayo au hufanya kusudi sababu ni Majambazi wenzao waliojificha Chadema
Waporaji waliendelea kuwapora wengine tena nikiwashuhudia kwa macho yangu nasubiri nikiwa na pesa niwashugulikie nitatoa taarifa polisi kwamba leo Niko doria maeneo ya magereza nitarekodi matukio na drone kwaajili ya ushahidi