Bodaboda aliyedaiwa kutekwa -afunguka - "alitoa bunduki - hawafananii na polisi nikaogopa"

Kipi rahisi, wao kujitambulisha au raia kupiga simu?
Wakijitambulisha hao raia hao raia wanahakiki vipi kama wana vitambulisho feki au halali ? Na hiyo.operation wana hakiki vipi kama genuine au siyo? Wapige simu huko ndiko wanajua kila kitu kinaendelea eneo hilo

Raia hawezi hakiki kwa kuwauliza tu
 
Wakijitambulisha hao raia hao raia wanahakiki vipi kama wana vitambulisho feki au halali ? Na hiyo.operation wana hakiki vipi kama genuine au siyo? Wapige simu huko ndiko wanajua kila kitu kinaendelea eneo hilo

Raia hawezi hakiki kwa kuwauliza tu

Kwa Maelezo yako unayotoa humu mtandaoni inaonyesha dhahiri kabisa kwamba wewe ni miongoni mwa wale Watu ambao ni Mambumbumbu haswa kuhusiana na masuala haya unayoyatolea Maelezo potofu hapa. Completely a Fool!

Kabla ya kujiunga na timu za Ushabiki wa Siasa za kuisifu Ccm nawashauri mwende shule kwanza ili kunoa mbongo zenu.
 
Mambo kama haya yanatakiwa yakemewa kwa sauti kubwa, la sivyo tutakuwa wote ndani ya gereza kuu la wazi tukiwa mahabusu tunaotembea mitaani na vijijini, nje ya ngome za magereza rasmi.

View attachment 3245622
Lisu aache ujinga kulaumu jeshi la polisi kuwa wahalifu mahakama pekee ndiyo yenye uwezo wa kusema polisi wahallfu kukamata huyo bodaboda

Na yeye aache kutaja watu waliohusika kumtwanga marisasi asuburi mahakama itamke kuwa ndio wahusika naye azingatie utawala wa sheria sio kuropoka tu ooh fulani alihusika

Mtu kuwa mhalifu hadi mahakama iseme akiwemo yeye na huyo bodaboda

Lisu azingatie hilo hao waliomtwanga risasi wako innocent hafi mahakama i prove
 
Unaf*rwa.
 
Shida inakuja unatofautisha vipi polisi na wahalifu polisi hawana uniform, wana tatoo, kama anavyosema. Utajuaje kama ni askari?
Kwa Tanzania polisi ni vibaka, wauaji na waporaji zaidi ya wezi na majambazi. Kilichomuokoa huyo dogo ni video kusambaa mitandaoni otherwise wangemuua kwa lengo la kumuibia pikipiki.
Msemaji wa hao mambwiga mapolisi alidai huyo dogo ni jambazi sugu highly wanted, sasa wanakula matapishi yao wenyewe kwa kuzuga kumpeleka mahakamani kwa vikesi vya kike.
 
Mawazo ya ki*enge sana hayo, mtu anatekwa raia wasimuokoe are you serious? Huwa kuna taratibu za ukamataji na kwenda kama majambazi siku watakapokutana na watu wanaojielewa watakula kichapo au hata kuuawa kabisa mpaka serikali itakuja na longolongo za ooh mara walikuwa TRA mara sijui watu gani kutafuta tu justification ya ubaradhuli wanaoufanya.
Police department imekuwa ni kitengo cha uhalifu through and through hata majority ya raia hawana imani nao, kutetea polisi labda uwe mwendawazimu au uwe ni mmoja wao hao polisi wahalifu.
 
😲😲😲
 
Wakaniuliza kwanini utatuletea nzi hapa shell ndipo mkaona katika video hao wasiojulikana tuliotaka kuwafahamu wakaanza kunishambulia na kunichukua kwa nguvu ndani ya gari hadi kituo cha Polisi, ...
Kwahiyo viongozi wa bodaboda walimsaidia nini maana kutakwa kuliendelea
 

Mkuu kwa hiyo hao vibaka huwaibia wa kina mama wa CCM tu hadi majambazi ya chadema kana ulivyowaita wawatetee??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…