Uchaguzi 2020 Bodaboda Mbeya Mjini wamchangia Dkt. Tulia Ackson pesa ya fomu ya Ubunge

Uchaguzi 2020 Bodaboda Mbeya Mjini wamchangia Dkt. Tulia Ackson pesa ya fomu ya Ubunge

GUSSIE

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2014
Posts
3,880
Reaction score
11,134
Wanabodi ni dhahiri sasa Dkt Tulia Ackson naibu spika mstaafu atagombea ubunge jimbo la Mbeya mjini.

Bodaboda hao wa eneo la Sai Mbeya wamemsifia Dkt Tulia kuwa ni mnyonge kama wao na anayajua matatizo ya bodaboda.

Kila bodaboda ametoa alichonacho kufanikisha tarehe 14/07/2020 Dkt tulia akachukue fomu kugombea jimbo la Mbeya mjini.

Hakika mwaka huu tutashinda kwa mbinu yaani
"SHIKWAMBI" Shinda kwa mbinu iwe jua au mvua.

Kwaheri Sugu nenda kalime mbatata ,maparachichi,Nguniani,maembe mfipo,Mang'ang'a ndio yanakufaa.

Imbombo ngafu Mbeya mjini,Sugu ulikuwa huna kitambi bunge limekufanya uwe kitufutufu Rwanda.

Wanyakyusa mtusamehe kuchomekea lugha yenu ila sugu ndio bye bye.

Mambo ya Shikwambi haya
 
Ubunge si kitu cha milele, aliyekuwepo ajue Hilo, ukipewa miaka mitano wananchi wakiona hujafanya kitu wanakutimua

Sugu Atimuliwe, imetosha sasa
 
Ninavyoijua mbeya watamlia pesa halafu siku ya kupiga kura atashangaa. Mbeya maamuzi yao huwa ni ngumu kuyatengua. Kila la heri Naibu Spika.
 
Magufuli: "watz sio wajinga" mwisho wa kununuu

Namimi nasema: Wanambeya sio wajinga, yaani wamchangie tulia kwamba kuna kitu anaweza kuwatetea?
Ni kamwanamke kafitini na kakuda sn, kanataka tu kaende huko kaongoze genge lake kupitisha uchafu wa serikali hii ya kishetani....

Wanambeya hawawezi kuchagua kamtu kajinga kapenda vyeo kuliko kutetea wananchi........

Wale wabunge waliojaribu kuisimamia serikali na kutetea watz wamekiona cha Moto sasa hiyu ndo aende kuwakilisha wananchi....
Yafaa aendelee kiteuliwa na rais ili amiwailishe rais ndicho anachoweza.....hatutaki makuda Mbeya
 
Back
Top Bottom