Uchaguzi 2020 Bodaboda Mbeya Mjini wamchangia Dkt. Tulia Ackson pesa ya fomu ya Ubunge

Mijinga inapata elfu kumi kwa siku inamchangia mtu anayechukua 240m baada ya miaka mitano ukiondoa mamilioni kumi na ushee anayozoa kila mwezi.

Majinga ndiyo yaliwayo...
Mkuu hiyo hela imetoka kwa Tulia mwenyewe, na imerudi kwake..Sanaa haziishi.
 
Wanabodi ni dhahiri sasa Dkt Tulia Ackson naibu spika mstaafu atagombea ubunge jimbo la Mbeya mjini.

Bodaboda hao wa eneo la Sai Mbeya wamemsifia Dkt Tulia kuwa ni mnyonge kama wao na anayajua matatizo ya bodaboda.

Kila bodaboda ametoa alichonacho kufanikisha tarehe 14/07/2020 Dkt tulia akachukue fomu kugombea jimbo la Mbeya mjini.

Hakika mwaka huu tutashinda kwa mbinu yaani
"SHIKWAMBI" Shinda kwa mbinu iwe jua au mvua.

Kwaheri Sugu nenda kalime mbatata ,maparachichi,Nguniani,maembe mfipo,Mang'ang'a ndio yanakufaa.

Imbombo ngafu Mbeya mjini,Sugu ulikuwa huna kitambi bunge limekufanya uwe kitufutufu Rwanda.

Wanyakyusa mtusamehe kuchomekea lugha yenu ila sugu ndio bye bye.

Mambo ya Shikwambi haya

Awajakamatwa na polisi
 
Boda boda watumie fursa hii kumlia pesa zake Tulila
 
Hawajitambui hao wataendea kuwa boda boda milele
Anajitejenya mwenyewe na kucheka mwenyewe,kawapa pesa bodaboda kisha anawaita ili waonekane wanemchangia.Boda wa Mbeya wanamjulia wapi tulia,angesingizia hata boda wa Tukuyu.
 
Haa😄😐😀😂
Ni Mnyonge Huyo
Acheni Utani Ccm
 
Mbeya ninayoijua????
1 Mnyakyusa kugombea ubunge ndani ya aridhi ya Wasafwa????
2. Hapo mjini wengi ni wakinga na wasafwa
3. Makabila ya huko ni mwiko mwanamke na chupi yake (Ilyabhi) kukaa mbele ya wanaume ni utovu wa nidhamu
4. Sidhani kuna mtu atafirisika hapo
 
Siku za nyuma nilikuwa naumia sana nikisikia wazungu wanatuita manyani, ila baada ya kufuatilia vizuri nikajua wako sahihi. Sasa kama hiyo mbinu ya kichovu/outdated ya kuwapa walalahoi pesa, kisha wajifanye wanakuchangia mtu mwenye uwezo, bado inatumika na mtu anayejiita msomi kwenye kizazi hiki cha watu walioamka, hapo kuna tofauti gani ya kimbinu kati ya aliyesoma na ambaye hajasoma?
 
Mkuu ulitaka kutukana au

Mambo ya siasa haya ,Hayataki presha kesho utasikia wameunga juhudi

Mkuu usiseme mambo ya siasa, sema mambo ya siasa za kipuuzi.
 
Boda boda ukimuwekea full tank na buku 10 mkononi yanaweza kuandamana na mahoni yao kwenda kumpokea shetani
 
Wanabodi ni dhahiri sasa Dkt Tulia Ackson naibu spika mstaafu atagombea ubunge jimbo la Mbeya mjini.

Bodaboda hao wa eneo la Sai Mbeya wamemsifia Dkt Tulia kuwa ni mnyonge kama wao na anayajua matatizo ya bodaboda.

Kila bodaboda ametoa alichonacho kufanikisha tarehe 14/07/2020 Dkt tulia akachukue fomu kugombea jimbo la Mbeya mjini.

Hakika mwaka huu tutashinda kwa mbinu yaani
"SHIKWAMBI" Shinda kwa mbinu iwe jua au mvua.

Kwaheri Sugu nenda kalime mbatata ,maparachichi,Nguniani,maembe mfipo,Mang'ang'a ndio yanakufaa.

Imbombo ngafu Mbeya mjini,Sugu ulikuwa huna kitambi bunge limekufanya uwe kitufutufu Rwanda.

Wanyakyusa mtusamehe kuchomekea lugha yenu ila sugu ndio bye bye.

Mambo ya Shikwambi haya
Hakuna lolote lile hilo ni igizo huyo dada anahangaika tu, mara aende akale vibandani,mara acheze muziki, mara aanzishe tuliatrust upuuzi mtupu.
 
Wanabodi ni dhahiri sasa Dkt Tulia Ackson naibu spika mstaafu atagombea ubunge jimbo la Mbeya mjini.

Bodaboda hao wa eneo la Sai Mbeya wamemsifia Dkt Tulia kuwa ni mnyonge kama wao na anayajua matatizo ya bodaboda.

Kila bodaboda ametoa alichonacho kufanikisha tarehe 14/07/2020 Dkt tulia akachukue fomu kugombea jimbo la Mbeya mjini.

Hakika mwaka huu tutashinda kwa mbinu yaani
"SHIKWAMBI" Shinda kwa mbinu iwe jua au mvua.

Kwaheri Sugu nenda kalime mbatata ,maparachichi,Nguniani,maembe mfipo,Mang'ang'a ndio yanakufaa.

Imbombo ngafu Mbeya mjini,Sugu ulikuwa huna kitambi bunge limekufanya uwe kitufutufu Rwanda.

Wanyakyusa mtusamehe kuchomekea lugha yenu ila sugu ndio bye bye.

Mambo ya Shikwambi haya

Baadaye Tulia akiwa spika nani atawasemea wanaMbeya.

Maana Tuliaa anaandaliwa kuwa remote ya IKULU.

HIVI CCM ILISHAWAHI KUIPENDA MBEYA?

AU MBEYA INAIPPENDA TU CCM??!!!
 
Kweli mwaka huu tutaona futuhi kibao kutoka kwa Tulia, juzi alitiwekea akipokea mchango wa milioni moja kutoka kwa wazee wa kimira ili akalipie form ya kugombea ubunge.

Nawe leo unatuletea futuhi jingine la boda boda kumchangia tena akalipie form hiyo hiyo alafu utakuta zoote anazipokea na kuahidi kwenda kulipia form!
Wanabodi ni dhahiri sasa Dkt Tulia Ackson naibu spika mstaafu atagombea ubunge jimbo la Mbeya mjini.

Bodaboda hao wa eneo la Sai Mbeya wamemsifia Dkt Tulia kuwa ni mnyonge kama wao na anayajua matatizo ya bodaboda.

Kila bodaboda ametoa alichonacho kufanikisha tarehe 14/07/2020 Dkt tulia akachukue fomu kugombea jimbo la Mbeya mjini.

Hakika mwaka huu tutashinda kwa mbinu yaani
"SHIKWAMBI" Shinda kwa mbinu iwe jua au mvua.

Kwaheri Sugu nenda kalime mbatata ,maparachichi,Nguniani,maembe mfipo,Mang'ang'a ndio yanakufaa.

Imbombo ngafu Mbeya mjini,Sugu ulikuwa huna kitambi bunge limekufanya uwe kitufutufu Rwanda.

Wanyakyusa mtusamehe kuchomekea lugha yenu ila sugu ndio bye bye.

Mambo ya Shikwambi haya
 
Naona wanadeseana mbinu. Sasa kawapa pesa ili waact wao ndo wamemchangia pesa. Hivi wanasiasa mnawaona wananchi hawana akili kabisa ?.Wajinga ndo waliwao.
 
Mh Sugu ndiye mbunge wa mbeya na tutamchagua tu na huyo Betina wako mwambie akachukue form pale magogoni.

Back
Top Bottom