Uchaguzi 2020 Bodaboda Mbeya Mjini wamchangia Dkt. Tulia Ackson pesa ya fomu ya Ubunge

Uchaguzi 2020 Bodaboda Mbeya Mjini wamchangia Dkt. Tulia Ackson pesa ya fomu ya Ubunge

kwani ni kosa kuwa chadema? sasa wewe uwekwe upande gani?
Chadema sio wazalendo

Twende na Dkt Magufuli

Bungeni upinzani ni kwaheri

Ahaaa mwenyekiti wenu mlevi ,ndembendembe chakali
 
Mkuu usiangaike nae huyo, habari ni ya uongo
Sasa wewe tahira kuna msafwa amebaki Mbeya

Wanyakyusa wa kyela na Tukuyu wamejazana Mbeya

Wasafwa wamekimbia mji wanawinda ndege wasafwa

Sugu bye bye
 
Ni uongo, Mi niko hapa barabara ya kuelekea Ilomba (Sai) Hakuna kitu Kama hicho... Kwanini watu wanatengeneza taarifa za uongo, ili kumnufaisha nani wakati nyinyi maisha yao ni duni?
Ni vijana wachache
Nenda youtube huko

Wewe muuza filombe fya kuchoma unajua nini?

Mbulo ngati sekwa wewe
 
Sasa wewe tahira kuna msafwa amebaki Mbeya

Wanyakyusa wa kyela na Tukuyu wamejazana Mbeya

Wasafwa wamekimbia mji wanawinda ndege wasafwa

Sugu bye bye
Kwa kukodishwa? 😂😂
 
Sasa wewe tahira kuna msafwa amebaki Mbeya

Wanyakyusa wa kyela na Tukuyu wamejazana Mbeya

Wasafwa wamekimbia mji wanawinda ndege wasafwa

Sugu bye bye
Sawa mi tahira, kwanini wawaongelea wasafwa katika hoja niliyoiweka? Kukimbia kwao mji Kama usemavyo kunahusiana vipi na hoja yangu ya uongo wa hiyo mission ya kukodisha dereva bodaboda?
Tanzania tunachelewa sana kwakuwa na watu wengi kama wewe
 
Wanabodi ni dhahiri sasa Dkt Tulia Ackson naibu spika mstaafu atagombea ubunge jimbo la Mbeya mjini.

Bodaboda hao wa eneo la Sai Mbeya wamemsifia Dkt Tulia kuwa ni mnyonge kama wao na anayajua matatizo ya bodaboda.

Kila bodaboda ametoa alichonacho kufanikisha tarehe 14/07/2020 Dkt tulia akachukue fomu kugombea jimbo la Mbeya mjini.

Hakika mwaka huu tutashinda kwa mbinu yaani
"SHIKWAMBI" Shinda kwa mbinu iwe jua au mvua.

Kwaheri Sugu nenda kalime mbatata ,maparachichi,Nguniani,maembe mfipo,Mang'ang'a ndio yanakufaa.

Imbombo ngafu Mbeya mjini,Sugu ulikuwa huna kitambi bunge limekufanya uwe kitufutufu Rwanda.

Wanyakyusa mtusamehe kuchomekea lugha yenu ila sugu ndio bye bye.

Mambo ya Shikwambi haya

mambo ya shikwambi
 
Back
Top Bottom