Uzuri wako ni kwamba unasimama kwenye ukweli.
Hata kule kwa sugu umesimama kwenye ukweli.
Unanivutia Sana kwa michango yako isiyoegemea kwenye utetezi wa chama.
Kuna chadema wengi na CCM humu wanaendekeza uchama badala ya ukweli.
Gwajima ametia nia wamemponda Ila Shilla ametia nia wanamwita kamanda.
Sugu amefanya propaganda Kama hizi wamemsifia ila Tulia amefanya wapo kumponda..CCM nao hivyohivyo,wamemponda Sugu na Shila ila wapo kumsifia Tulia na Gwajima.
I wish Watu wangekuwa na akili kama yako..michango yao huwa inanivutia Sana we dada[emoji122]
Sent using
Jamii Forums mobile app