Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Labda ubunge wa viti maalum
Ubunge Tulia kachukua Mbeya.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ubunge Tulia kachukua Mbeya.
Wacha kujikomba komba wewe gambaSugu atunge mistari ya kufoka foka, akiwa tayari ame....hush...hush.....ile msokoto!
We mleta UZI ni MWANAMKE au Mwanaume?Wanabodi ni dhahiri sasa Dkt Tulia Ackson naibu spika mstaafu atagombea ubunge jimbo la Mbeya mjini.
Bodaboda hao wa eneo la Sai Mbeya wamemsifia Dkt Tulia kuwa ni mnyonge kama wao na anayajua matatizo ya bodaboda.
Kila bodaboda ametoa alichonacho kufanikisha tarehe 14/07/2020 Dkt tulia akachukue fomu kugombea jimbo la Mbeya mjini.
Hakika mwaka huu tutashinda kwa mbinu yaani
"SHIKWAMBI" Shinda kwa mbinu iwe jua au mvua.
Kwaheri Sugu nenda kalime mbatata ,maparachichi,Nguniani,maembe mfipo,Mang'ang'a ndio yanakufaa.
Imbombo ngafu Mbeya mjini,Sugu ulikuwa huna kitambi bunge limekufanya uwe kitufutufu Rwanda.
Wanyakyusa mtusamehe kuchomekea lugha yenu ila sugu ndio bye bye.
Mambo ya Shikwambi haya
Maigizo nchi hii hayaishi, eti Tulia mnyonge mwenzao...[emoji23][emoji23][emoji23]
Huyo tulia ni mwepesi sana kwa sugu, kama huamini utaona. Lakini pia kwa kuwa tofauti ya kura itakuwa kubwa sana, kubadilisha matokeo hawataweza .. TUbunge Tulia kachukua Mbeya.
Zile boda boda alizowanunulia?Wanabodi ni dhahiri sasa Dkt Tulia Ackson naibu spika mstaafu atagombea ubunge jimbo la Mbeya mjini.
Bodaboda hao wa eneo la Sai Mbeya wamemsifia Dkt Tulia kuwa ni mnyonge kama wao na anayajua matatizo ya bodaboda.
Kila bodaboda ametoa alichonacho kufanikisha tarehe 14/07/2020 Dkt tulia akachukue fomu kugombea jimbo la Mbeya mjini.
Hakika mwaka huu tutashinda kwa mbinu yaani
"SHIKWAMBI" Shinda kwa mbinu iwe jua au mvua.
Kwaheri Sugu nenda kalime mbatata ,maparachichi,Nguniani,maembe mfipo,Mang'ang'a ndio yanakufaa.
Imbombo ngafu Mbeya mjini,Sugu ulikuwa huna kitambi bunge limekufanya uwe kitufutufu Rwanda.
Wanyakyusa mtusamehe kuchomekea lugha yenu ila sugu ndio bye bye.
Mambo ya Shikwambi haya
Kujikomba kunalipa!!Wacha kujikomba komba wewe gamba
Mbona husemi wajinga wale wanawake walio mchukulia form Sugu. Acha kila mumoja afanye anacho jisikia kuridhisha nafisi yake.Mijinga inapata elfu kumi kwa siku inamchangia mtu anayechukua 240m baada ya miaka mitano ukiondoa mamilioni kumi na ushee anayozoa kila mwezi.
Majinga ndiyo yaliwayo...
Kujikomba kunalipa!!
Mbona husemi wajinga wale wanawake walio mchukulia form Sugu. Acha kila mumoja afanye anacho jisikia kuridhisha nafisi yake.
Mwulize Jafo!!Pia ni janga la taifa
Wanabodi ni dhahiri sasa Dkt Tulia Ackson naibu spika mstaafu atagombea ubunge jimbo la Mbeya mjini.
Bodaboda hao wa eneo la Sai Mbeya wamemsifia Dkt Tulia kuwa ni mnyonge kama wao na anayajua matatizo ya bodaboda.
Kila bodaboda ametoa alichonacho kufanikisha tarehe 14/07/2020 Dkt tulia akachukue fomu kugombea jimbo la Mbeya mjini.
Hakika mwaka huu tutashinda kwa mbinu yaani
"SHIKWAMBI" Shinda kwa mbinu iwe jua au mvua.
Kwaheri Sugu nenda kalime mbatata ,maparachichi,Nguniani,maembe mfipo,Mang'ang'a ndio yanakufaa.
Imbombo ngafu Mbeya mjini,Sugu ulikuwa huna kitambi bunge limekufanya uwe kitufutufu Rwanda.
Wanyakyusa mtusamehe kuchomekea lugha yenu ila sugu ndio bye bye.
Mambo ya Shikwambi haya
Uzuri wako ni kwamba unasimama kwenye ukweli.Naona wanadeseana mbinu. Sasa kawapa pesa ili waact wao ndo wamemchangia pesa. Hivi wanasiasa mnawaona wananchi hawana akili kabisa ?.Wajinga ndo waliwao.
Naomba kuuliza Kama hutojali?Mh Sugu ndiye mbunge wa mbeya na tutamchagua tu na huyo Betina wako mwambie akachukue form pale magogoni.
Sisi wana cdm ndiyo mbunge ambaye bado tunahitaji uongozi wake.Naomba kuuliza Kama hutojali?
Hilo jina la Betina nalo ni lake?maana nalisikia Sana
Limetokeaje?
Nje ya mada,hivi Chadema kwanini msimsimamishe mtu mwingine hata Mdude?
Sugu amefanya kazi nzuri na nadhani alipaswa kupumzika kuachia wengine.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi unyonge ni jambo la kujisifia eeh[emoji16]