Uchaguzi 2020 Bodaboda Mbeya Mjini wamchangia Dkt. Tulia Ackson pesa ya fomu ya Ubunge

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eti wanatuita manyani..
 
Hapa ni jukwaa huru linalotoa nafasi kwa kila member kuwasilisha mawazo yake, na siyo lazima wewe uyakubali au yakufurahishe.

Kumponda mtu au kumkubali hilo lipo mioyoni mwa mwanadamu, huwezi kulilazimisha kwa virungu au mitutu.
 
Watanzania ni watu wa ajabu sana pamoja na shida walizonazo lakini bado wanapata akili ya kutoa hela zao ili wakamchangie mtu kwenda kwe nye ulaji?
 

SASA UGOMVI WAKO BINAFSI NA SUGU UNATULETEA HAPA ILI TUKUHURUMIE?
Kuchukuliwa fomu kwa Tulia si lazima ashinde, japo ni haki yake kugombea ubunge, hilo sina shida nalo.
Shida yangu ni kwako mleta mada, uko kama wewe ndo umetumwa kwa kivuli cha bodaboda.

Hakika mwaka huu tutashinda kwa mbinu yaani
"SHIKWAMBI" Shinda kwa mbinu iwe jua au mvua.

Kwaheri Sugu nenda kalime mbatata ,maparachichi,Nguniani,maembe mfipo,Mang'ang'a ndio yanakufaa.

Imbombo ngafu Mbeya mjini,Sugu ulikuwa huna kitambi bunge limekufanya uwe kitufutufu Rwanda.

Wanyakyusa mtusamehe kuchomekea lugha yenu ila sugu ndio bye bye.

Haya maneno yanaonesha kuwa unatumika bila wewe kujua kuwa unatumika. Nakushauri ujitafakari.
 
Hawajitambui hao wataendea kuwa boda boda milele
boda boda yake ndio biashara yake na analisha familia yake, unawadharau pengine ukute umeshapanda boda boda mara nyingi tu , tena anaweza kukulisha na wewe pia ...acha dharau dogo
 
Hapa ni jukwaa huru linalotoa nafasi kwa kila member kuwasilisha mawazo yake, na siyo lazima wewe uyakubali au yakufurahishe.

Kumponda mtu au kumkubali hilo lipo mioyoni mwa mwanadamu, huwezi kulilazimisha kwa virungu au mitutu.
Hakuna sehemu nimemzuia mtu kuwasilisha mawazo yake.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rais wa Mbeya hawezekamiki,
Hiyo janja Janja ya kuiba kura mbeya hawawezi
 
Ubunge si kitu cha milele, aliyekuwepo ajue Hilo, ukipewa miaka mitano wananchi wakiona hujafanya kitu wanakutimua

Sugu Atimuliwe, imetosha sasa
Wananchi waliikataa CCM miaka mingi ila sasa *Bunduki*
 
Wewe itqkuwa chadema
 
Huyo tulia ni mwepesi sana kwa sugu, kama huamini utaona. Lakini pia kwa kuwa tofauti ya kura itakuwa kubwa sana, kubadilisha matokeo hawataweza .. T
Sugu alitupa kazi ngumu sana kubadili matokeo 2015, yaani alikuwa anampiga Shitambala gepu la kufa mtu. Nasubiri nione muujiza October.
 
Hawajitambui hao wataendelea kuwa boda boda milele
Ni uongo, Mi niko hapa barabara ya kuelekea Ilomba (Sai) Hakuna kitu Kama hicho... Kwanini watu wanatengeneza taarifa za uongo, ili kumnufaisha nani wakati nyinyi maisha yao ni duni?
Ni vijana wachache
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…