Bodaboda ni wapiga kura wako; Rais Samia waondolee adha ya kunyanyaswa na SUMATRA

Umewasilisha upumbavu bwashee...
Hivi unajua mafuta yana tozo ngapi?....ni vizuri wakati mwingine ukajaribu kutafiti kidogo kabla ya kubandika ujinga hapa jukwaani.
Kwa hiyo unataka kila mtu anaetumia mafuta alipe Sumatra?..yaani majeneta ,magari binafsi e.t.c.....umesoma kweli wewe?
 
Umekuwaje tena wanaitwa bodaboda akati ni maafisa wasafirishaji? Hata hivyo wanalipa zile teni teni walizopewa na mafuta full tank kwahyo walipe tu hakuna namna.
 
Kuruhusu Bodaboda kubeba abiria ulikuwa ni uamuzi wa ovyo sana,hasa mijini.
 
Kuruhusu Bodaboda kubeba abiria ulikuwa ni uamuzi wa ovyo sana,hasa mijini.
Ulikuwa uamuzi sahihi. Fikiria hili jeshi la bodaboda nchi nzima bila ajira, ungekatiza mtaani?
 
Hawa wahuni ningekuwa na mamlaka ningewafutilia mbali
 
Nchi isipoangalia huu umoja wa boda boda ni hatari sana kwa usalama,maana kwa sasa ni kama jeshi lisilo na silaha.

Mungu mwenyewe huogopa watu wakiungana kwa maana wanakuwa wa hovyo unaweza kuua wengi ukijaribu kutumia nguvu.Sijui kwa nini serikali inawaendekeza sana hawa
 
Mada kama hizi za kijinga zinaachwa hapa ili iweje?
Hawa bodaboda mnawapa jeuri na mwisho wa siku inakuwa shida Kwa jamii..
Ningekuwa na uwezo ningepiga marufuku pikipiki kutumika kama usafiri wa umma
Ww ni kichaaa
 
Mada kama hizi za kijinga zinaachwa hapa ili iweje?
Hawa bodaboda mnawapa jeuri na mwisho wa siku inakuwa shida Kwa jamii..
Ningekuwa na uwezo ningepiga marufuku pikipiki kutumika kama usafiri wa umma
umeshiba wewe ungekuwa na njaa usinge ongea utumbo plus msunjiro
 
uko sahihi mkuu kwani naimani serikali hainufaiki na chochote kwa huu utaratibu zaidi ya watu kunufaika na kulta taharuki kwa jamiii
 
Ulipoanza na neno bodaboda ni wapigà kura wake nimeipuuza habari yote
Kwani wakisema hawatapiga kura vipi haki zao kama wananchi zitapokonywa?
Je, Rais anapaswa kutekeleza majukumu yake kwa kutazamia kura?
 
uko sahihi mkuu kwani naimani serikali hainufaiki na chochote kwa huu utaratibu zaidi ya watu kunufaika na kulta taharuki kwa jamiii
Serikali haikusanyi hata 30% ya mapato yaliyokusudiwa, waangalie utaratibu mwingine.
 
Ulikuwa uamuzi sahihi. Fikiria hili jeshi la bodaboda nchi nzima bila ajira, ungekatiza mtaani?
Mbona sasa hivi hali ni hiyohiyo tu,bodaboda ndiyo wahalifu wakubwa mitaani,hii biashara imeleta hasara kubwa kuliko faida.
 
Bodaboda ni kero namba moja mjini.
Hao jamaa ni kama mbu unapolala bila neti.
 
Unatoa taarifa as if wote tulikua eneo la tukio bodaboda wa mkoa gani na sehem gan limetokea hilo tukio
 
Serikali huwa wanakuwa na utaratibu mbovu siku zite mfano wamekuja kushituka kwamba wamiliki wa pikipiki niwachache lakini pikipiki ziko nyingi kwakuwa mmiliki wa pikipik kwa utaratibu wa mwanzo alikuwa ni muuzaji wa pikipiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…