- Thread starter
- #41
Ni kweli, lakini latra nao wanazidisha kero mtaani kama nilivyoshuhudia juzi.Bodaboda ni kero namba moja mjini.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli, lakini latra nao wanazidisha kero mtaani kama nilivyoshuhudia juzi.Bodaboda ni kero namba moja mjini.
Serikali iangalie njia mbadala kukusanya hiyo pesa ya LATRA. Wanachopata kwa sasa hakifikii hata 30% ya makadirio yao, wanazalisha tu vurugu na usumbufu mitaani.Serikali huwa wanakuwa na utaratibu mbovu siku zite mfano wamekuja kushituka kwamba wamiliki wa pikipiki niwachache lakini pikipiki ziko nyingi kwakuwa mmiliki wa pikipik kwa utaratibu wa mwanzo alikuwa ni muuzaji wa pikipiki
Wapumbavu ni latra? bodaboda? au wote ni wapumbavu!Acha wanyooshwe ni wapumbavu sn