Serikali huwa wanakuwa na utaratibu mbovu siku zite mfano wamekuja kushituka kwamba wamiliki wa pikipiki niwachache lakini pikipiki ziko nyingi kwakuwa mmiliki wa pikipik kwa utaratibu wa mwanzo alikuwa ni muuzaji wa pikipiki
Serikali iangalie njia mbadala kukusanya hiyo pesa ya LATRA. Wanachopata kwa sasa hakifikii hata 30% ya makadirio yao, wanazalisha tu vurugu na usumbufu mitaani.