Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
Wameendekezwa, ni as if sheria za barabarani zina apply kwa magari tu, ila wao ahhhhh
Sasa hivi jamaa wanaleta vitimbi vyao hadharani na hamna kitu unaweza kuwafanya.
Ni kama wana utawala wao wapo dunia yao isiyo na sheria. Wao ndio mabingwa wa kubebana mishikaki na kuchomekea wengine kwa mbele kwa kisingizio cha wana haraka.
Anza kutumia tax kwenda kwa mchepuko wako ukiendelea kutumia bodaboda utasababisha mumeo akupoteze kwa ajali bibie.Pia kuwawaisha wake zenu kwa michepuko yao.
Yangu machoSasa hivi jamaa wanaleta vitimbi vyao hadharani na hamna kitu unaweza kuwafanya.
Kwenye ndoa zenu kuna watoto wa bodaboda anae mfichia mke wako siri.Anza kutumia tax kwenda kwa mchepuko wako ukiendelea kutumia bodaboda utasababisha mumeo akupoteze kwa ajali bibie.
Abiria, tena watu wazima (na pengine ni wanandoa) wanapoamua kukubali ujinga wa ku-risk maisha yao na ya watoto wao kwa kufanya ujinga kama huu nani anawakiwa kulaumiwa?
Sasa hivi jamaa wanaleta vitimbi vyao hadharani na hamna kitu unaweza kuwafanya.
Ni kama wana utawala wao wapo dunia yao isiyo na sheria. Wao ndio mabingwa wa kubebana mishikaki na kuchomekea wengine kwa mbele kwa kisingizio cha wana haraka.
Wameendekezwa, ni as if sheria za barabarani zina apply kwa magari tu, ila wao ahhhhh
Na haya yote wameyataka serikal
Ugumu wa maisha unaoletwa na utapeli wa World bank ndio unasababisha haya
Sasa hivi jamaa wanaleta vitimbi vyao hadharani na hamna kitu unaweza kuwafanya.
Ni kama wana utawala wao wapo dunia yao isiyo na sheria. Wao ndio mabingwa wa kubebana mishikaki na kuchomekea wengine kwa mbele kwa kisingizio cha wana haraka.
Hata wakifanya buku mbili kwa kosa watapata mamilioni kwa sikuNafikiri mimi ndio ntakuwa wakwaza kutoa wazo hili,
Manispaa husika ziwatumie mgambo maalum wa kusimamia boda boda,mgambo hao wawe na body camera ya kumbu kumbu yaani wakati anamkamata mtu awe ameiwasha na kurekodi kila kitu.
Malipo ya Ushuru na adhabu yaingizwe kwenye mapato ya manispaa husika.
Kuwa makini hakuhusiani na ulipojifunzia kaziNi ngumu kuwathibiti bodaboda kwa sababu wengi wanajifunzia udereva kazini na wako wengi.
Na sie tunawapenda wake na mabinti zenu kuliko muwapendavyo nyieBodaboda wengi hawaiheshimu kazi yao, lakini pia wanachukulia mambo ya barabarani kirahisi rahisi sana. Na wanajikuta wana haraka kuliko vyombo vyote vya usafiri hata kama anaenda kupaki tu
Unakuta boda yupo speed 70 high way au mtaani na wkt huohuo hana helmet, hajavaa viatu zaidi ya tusendo ambato katuegeshea tu kwenye miguu, hana jacket zito la kumkinga na upepo mkali, wengine wanakalia kiti kiupande ili mradi tu ajione ni mjanja... Na hawa wa hivi kuchomekea ndiyo zao
Poleni sana bodaboda wote msiojielewa, kifo na ulemavu vinawapenda sana kuliko tunavyowapenda