Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bodaboda wengi kwenye vijiwe shughuli kubwa wanayoifanya ni hio ya umbea umbea tu mtu kapita wanamfungulia topic wanamsemaaa akipita mwingine topic wanamsemaaa akipita mwingine ni hivyo hivyo mpaka Giza linaingia jamaa ni kujadiri watu na maisha ya watu kuanzia jua linachomoza mpaka jua linazama kazi ya laanaHuyo boda hana maadili na kazi yake. Wenzake wanaweza kuwa wanajua siri zenu lakini hawathubutu kutoa siri, wanajali pesa tu.
Yaani anamjua mtu anayemgonga demu wako na anapajua hadi anapokaa lakini siri yake.
Duh! Hii sasa hatariBoda boda sio umbea kwa wanawake pekee bali pia wanapindua na kugeuza biashara za watu.
Kama mnabiashara fulani either shamba au gari na mteja akapanda boda boda elewa kuna uwezekano mkubwa wa Boda kumgeuza jamaa akili ampeleke kwengine..
Be warned.
Kuna siku nilikuwa na biashara fulani ya kutafuta mashamba ya kununuwa,,Duh! Hii sasa hatari
Hahaha😀 shida ilianzia kwako kumueleza unaenda kufanya nini. Usitoe siri mkuu, imagine angejua una hela akaamua kukuuza kwa wahuni wakupore?Kuna siku nilikuwa na biashara fulani ya kutafuta mashamba ya kununuwa,,
Jamaa kanibeba hadi tunafika kule kwenye biashara nimekwisha ghairi kununuwa eneo..
Story zimeishia kwamba boda boda ana eneo sehem kubwa na bei rahisi kuliko kule anakonipeleka..
Boda boda lazima awe anakuongelesha story tofauti tofauti.Hahaha[emoji3] shida ilianzia kwako kumueleza unaenda kufanya nini. Usitoe siri mkuu, imagine angejua una hela akaamua kukuuza kwa wahuni wakupore?
Hhaha daaah! Hii retaliation yake ungetafuta dem wa huyo bodaboda umle. Shenzi kabisa.Siku ingine kuna demu mmoja nafukuzia sehem,,
baada ya kula nae msosi wa usiku ,,
Nikamwita boda boda mmoja ampeleke kwake kwa ahadi ya kuja kumfyatua kesho yake maghetoni kwangu.
Picha limeishia hyo kesho yake demu napiga simu hapokei,
Mwisho akanijibu kwamba mimi sio type yake.
Kuchunguza vizuri kumbe yule boda boda kampa story zangu chafu kibao,,hadi sasa sitakiwi kuonekana hata sura yangu kwa yule demu.
Be warned na boda boda..
Ma bingwa wa kupinduwa meza .
[emoji28] [emoji28] Hapo umemmaliza kisaikolojiaDogo nilideal naye kimya kimya bila kumwambia. Nilipokuwa nilikataa kupanda boda boda yake mara 3 ila tu sikutaka kumwambia kinachoendelea.
Unajua hapa nimefupisha story, baada ya dogo kuona anakosa biashara kwangu mara zote 3 ikabidi wajadili kwa nini huwa nakataa kupanda chombo yake. Bodaboda aliyefungua code kwangu ndiye aliyeniuliza kwanini yule dogo sipandi pikipiki yake?[emoji28] [emoji28] Hapo umemmaliza kisaikolojia
Nilikuja kujuwa baadae sn.Hhaha daaah! Hii retaliation yake ungetafuta dem wa huyo bodaboda umle. Shenzi kabisa.
Boda boda ndy wanaojuwa taarifa nyingi za watu mbalimbali na hata maeneo ya utapeli wao wanajuwa.Unatia uongo kesi inaisha. Kuna wakati inabidi uishi kama agent wa CIA.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] safi sana ulimuweza haswaaUnajua hapa nimefupisha story, baada ya dogo kuona anakosa biashara kwangu mara zote 3 ikabidi wajadili kwa nini huwa nakataa kupanda chombo yake. Bodaboda aliyefungua code kwangu ndiye aliyeniuliza kwanini yule dogo sipandi pikipiki yake?
Nilivyomsimulia kisa cha kumpa umbea mpenzi wangu ndipo akasikitika na kunieleza mambo ya vijiweni kwao.
Mpaka nimehama pale mtaani mwezi wa 10 sijapanda chombo yake hata kwa bahati mbaya.