BABA Dillish
JF-Expert Member
- Jan 20, 2016
- 2,362
- 3,252
Hahahahah umenikumbusha stori yangu ya mwaka 2018 aisee.
Bodaboda mmoja alikutana na wife to be wa kipindi hicho(ambaye ni my wife kamili) anatoka home kwetu
Mazungumzo yao yalikuwa kama hivi:
Boda: Hivi hapo ulipotoka unamfataga nani? Kwa maana watoto wa hapo wote nawafahamu.
Wife: Namfataga Baba Dillish.
Boda: Aisee huyo jamaa si Ana mke sasa weqe utakuwa mke wa ngapi kwake?
Aisee wife alivyofika tu kwao after 10mns akaniwashia moto kwa simu. Akanifokea kinoma. Nikamuuliza nani kasema akanitajia huyo Boda kwa jina Lake. Nikiri huyo boda niliwahi kumtumia sana kwenye mishe zangu nyingi za kukata nyasi hapa duniani.
Aisee bodaboda sio watu wazuri kabsaa.