Bodaboda wanatuchunguza na kutujadili sana. Be warned

Hahahahah umenikumbusha stori yangu ya mwaka 2018 aisee.
Bodaboda mmoja alikutana na wife to be wa kipindi hicho(ambaye ni my wife kamili) anatoka home kwetu
Mazungumzo yao yalikuwa kama hivi:
Boda: Hivi hapo ulipotoka unamfataga nani? Kwa maana watoto wa hapo wote nawafahamu.
Wife: Namfataga Baba Dillish.
Boda:
Aisee huyo jamaa si Ana mke sasa weqe utakuwa mke wa ngapi kwake?

Aisee wife alivyofika tu kwao after 10mns akaniwashia moto kwa simu. Akanifokea kinoma. Nikamuuliza nani kasema akanitajia huyo Boda kwa jina Lake. Nikiri huyo boda niliwahi kumtumia sana kwenye mishe zangu nyingi za kukata nyasi hapa duniani.
Aisee bodaboda sio watu wazuri kabsaa.
 
Hakuna watu wambea na wasengenyaji km boda boda, yaan hawafai hata mashoga wana afadhari.

Sijui wamekuwaje hata, mfyuuuuuh.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Idle mind is the devil's Workshop! Wanakaa vijiweni mm Uda mrefu sana ...Matokeo yake huanza kuongezea watu!
 
Mkuu kwanza hutakiwi uwe na Boda boda mmoja, Kuwa na atleast hata watatu kila mmoja awe na assignment yake na watokee vijiwe tofauti, Mimi ninao watatu na Mmoja kazi yake ni Kuleta mizoga Geto huyo nilimchunguza na Kugundua ni msiri na sio judgemental mana Sample ya mizigo ninayokula ni tofauti
 
Huyo boda hana maadili na kazi yake. Wenzake wanaweza kuwa wanajua siri zenu lakini hawathubutu kutoa siri, wanajali pesa tu.
Yaani anamjua mtu anayemgonga demu wako na anapajua hadi anapokaa lakini siri yake.
Maadili ya kazi ya bodaboda!

Sent from my moto g 5G (2022) using JamiiForums mobile app
 
Kiufupi mwamba ujue kuna boda boda anammega kimasihara waifu to be wako....

Anakusagia kunguni azidi kuaminika...

Akili usiilaze kwa jirani
 
Kwa wale ambao bado hawajui, bodaboda wengi (lakini syo wote) ni Field Officers au Surveillance Officers, ktk zile nyakati za giza za "kuokota maiti kwenye viroba" wengi wao ndio walitumika sana ktk kufanikisha deal hizo. Na wengi walipewa pikipiki mpya za kazi 'kwa mkopo.'
 
Acha mazoea na mtu uliyemzidi Kwa hatua yoyote Ile.

Jifunze kua na Siri hata Kwa rafiki wa karibu, Epuka au punguza kukutana na wafanyakazi wenzako hasa wakati wa jioni
You will be invisible
Hili la kuepuka wafanyakazi wenzako jioni ni muhimu sana kwa afya ya maendeleo. Hupaswi kukaa na watu wale wale kila siku, majadiliano yenu hayaendi mbali na kazi, kumsema boss n.k
Unapaswa kukutana na watu tofauti wakupe ideas mpya, michongo, connections n.k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…