Bodaboda wavamia ofisi ya Serikali ya Mtaa Tabata, wamchukua mwizi wa Bodaboda watokomea naye kusikojulikana

Bodaboda wavamia ofisi ya Serikali ya Mtaa Tabata, wamchukua mwizi wa Bodaboda watokomea naye kusikojulikana

Hili jambo la kujichukulia sheria mkononi lisipokemewa tutafika pabaya.Wizi ni mbaya,ila mtuhumiwa kuchukuliwa tena kwenye ofisi ya mtaa na kwenda kuuawa.Kuna watu wanapaswa kuchukuliwa hatua.

Sent from my SM-M325F using JamiiForums mobile app
Hapo kuna tatizo maana yake watu wengi innocent watakuja kusulubiwa kwa chuki binafsi, polisi wafanye kazi yao, hii maana yake no one is safe anymore unaweza kufananishwa na mtu watu wakakumaliza by the time ukweli unajulikana uhai wa mtu umeshapotea hatuwezi kuurudisha,ila mali inaweza kurudishwa
 
Napenda kufuga ili nashindwa kwa ajili ya wizi wa mifugo yani unaweza kuamka ukakuta zizi jeupe ilimkuta ndugu yangu hadi leo kabaki maskini
Halafu amkamate mwizi watu waseme usijichukulie sheria mkononi
 
Hili jambo la kujichukulia sheria mkononi lisipokemewa tutafika pabaya.Wizi ni mbaya,ila mtuhumiwa kuchukuliwa tena kwenye ofisi ya mtaa na kwenda kuuawa.Kuna watu wanapaswa kuchukuliwa hatua.

Sent from my SM-M325F using JamiiForums mobile app
Subiri siku mkeo akutane na wezi wamuibie na wambake ndo ujue nini maana ya kujichukulia sheria mkononi
 
Nazani hiyo ndio sababu ya kutokomea nae njia ya gongo la mboto.

Maana wanataka wakafanyie jambo lao mbali na kinyerezi maana bonge anajulikana kinyerezi.

Wamempeleka sehemu ambayo bonge hajulikani ili wakiwa wanamsulubu akose utetezi.

Bonge alipaswa amtaje huyo dada kwanza ili na yeye akafatwe kwake
True
 
Hili jambo la kujichukulia sheria mkononi lisipokemewa tutafika pabaya.Wizi ni mbaya,ila mtuhumiwa kuchukuliwa tena kwenye ofisi ya mtaa na kwenda kuuawa.Kuna watu wanapaswa kuchukuliwa hatua.

Sent from my SM-M325F using JamiiForums mobile app
Huku tunako elekea itafika kipindi mtuhumiwa anachukuliwa ndani ya kituo Cha police na wanchi wenye hasira kali kisa wakijua kuwa mtuhumiwa hatachukuliwa hatua na muda si mrefu atakua kitaani akitamba kua hakuna wakumfanya kitu!!
 
Back
Top Bottom