PureView zeiss
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 10,786
- 35,916
Hao bodaboda wapewe maua Yao Kwa kweliiii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wewe toka umeziwa unajua faida na hasara ya bandari au mihemuko inakusumbuaNguvu ya umma.
Tunataka bandari zetu.
Sidhani kama atarudi haiBonge atarudi amevaa dela na kujitanda kikoi
Watupatie update, maana tangu Jumatano hadi leo hii status inatakiwe iwe imebadilika.Sidhani kama atarudi hai
Napenda kufuga ili nashindwa kwa ajili ya wizi wa mifugo yani unaweza kuamka ukakuta zizi jeupe ilimkuta ndugu yangu hadi leo kabaki maskiniKuna msenge mmoja huku Nguzo Kwa Musuguli anezoea kuniibia mifugo,siku nikimkamata atalia kikwao
Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
Hapo kuna tatizo maana yake watu wengi innocent watakuja kusulubiwa kwa chuki binafsi, polisi wafanye kazi yao, hii maana yake no one is safe anymore unaweza kufananishwa na mtu watu wakakumaliza by the time ukweli unajulikana uhai wa mtu umeshapotea hatuwezi kuurudisha,ila mali inaweza kurudishwaHili jambo la kujichukulia sheria mkononi lisipokemewa tutafika pabaya.Wizi ni mbaya,ila mtuhumiwa kuchukuliwa tena kwenye ofisi ya mtaa na kwenda kuuawa.Kuna watu wanapaswa kuchukuliwa hatua.
Sent from my SM-M325F using JamiiForums mobile app
Wewe ndio Mama Bonge au?Hili jambo la kujichukulia sheria mkononi lisipokemewa tutafika pabaya.Wizi ni mbaya,ila mtuhumiwa kuchukuliwa tena kwenye ofisi ya mtaa na kwenda kuuawa.Kuna watu wanapaswa kuchukuliwa hatua.
Sent from my SM-M325F using JamiiForums mobile app
Halafu amkamate mwizi watu waseme usijichukulie sheria mkononiNapenda kufuga ili nashindwa kwa ajili ya wizi wa mifugo yani unaweza kuamka ukakuta zizi jeupe ilimkuta ndugu yangu hadi leo kabaki maskini
Subiri siku mkeo akutane na wezi wamuibie na wambake ndo ujue nini maana ya kujichukulia sheria mkononiHili jambo la kujichukulia sheria mkononi lisipokemewa tutafika pabaya.Wizi ni mbaya,ila mtuhumiwa kuchukuliwa tena kwenye ofisi ya mtaa na kwenda kuuawa.Kuna watu wanapaswa kuchukuliwa hatua.
Sent from my SM-M325F using JamiiForums mobile app
Nimeona taarifa JF twitter kua,mwili wake umepatikana akiwa kisha uawa,Sidhani kama atarudi hai
Kisha uawa na mwili wake umepatikana,nimeona Twitter ya JF wamereport hiyo habari.Watupatie update, maana tangu Jumatano hadi leo hii status inatakiwe iwe imebadilika.
Aisee...vijana wameamua kuondoa udhiaKisha uawa na mwili wake umepatikana,nimeona Twitter ya JF wamereport hiyo habari.
Safi sana. Msiba uko maeneo gau
KabisaWamefanya jambo la maana Sana .
Pia huyo dada nae ni muhusika
TrueNazani hiyo ndio sababu ya kutokomea nae njia ya gongo la mboto.
Maana wanataka wakafanyie jambo lao mbali na kinyerezi maana bonge anajulikana kinyerezi.
Wamempeleka sehemu ambayo bonge hajulikani ili wakiwa wanamsulubu akose utetezi.
Bonge alipaswa amtaje huyo dada kwanza ili na yeye akafatwe kwake
Huku tunako elekea itafika kipindi mtuhumiwa anachukuliwa ndani ya kituo Cha police na wanchi wenye hasira kali kisa wakijua kuwa mtuhumiwa hatachukuliwa hatua na muda si mrefu atakua kitaani akitamba kua hakuna wakumfanya kitu!!Hili jambo la kujichukulia sheria mkononi lisipokemewa tutafika pabaya.Wizi ni mbaya,ila mtuhumiwa kuchukuliwa tena kwenye ofisi ya mtaa na kwenda kuuawa.Kuna watu wanapaswa kuchukuliwa hatua.
Sent from my SM-M325F using JamiiForums mobile app