Yani boda anakupita kama upepo alafu mita mia nyingi unamkuta kapaki ,unajiuliza alikua anakimbizana na nini? Jibu hupati, ile sio akili ya kawaida ,upo sahiiSio visungura wanakula bangi sana inayofanya wajiamini sana kwa mambo ya hovyo.
Akila kisungura hata mbele hawezi ona.
Hawajui sheria za barabarani karibia zoteNaomba bodaboda wapewe elimu ya matumizi ya Double hazard lights, asilimia kubwa wanazitumia kama fasheni lakini ndiyo chanzo kikubwa cha ajali.
Mfano amewasha hazard halafu yupo mbele na aliyepo nyuma yake hawezi kujua uelekeo wake, ghafla anakunja kushoto wakati huo hajazima hazard, kwa mazingira hay oni rahisi kutatokea ajali.
Halafu wengi wao hawaogiSio visungura wanakula bangi sana inayofanya wajiamini sana kwa mambo ya hovyo.
Akila kisungura hata mbele hawezi ona.
Hawa wakasome na wapate lesen ,asilimia 65 hawana leseni , kukomesha ujinga huu nikuanzia hapa , watungiwe sheria kali na wawe monitoredSiamini kabisa kama serikali kupitia Polisi wa Usalama barabarani wameshindwa kudeal na Hawa Mbuzi Mawe.
Mkuu boda wengi ni mazoe tu , siku tatu kafundishwa huko vichakani ati yupo barabarani ,so wengi wanaendelea kuutafuta uzoefu barabarani na kwa kubatisha tu . That's wamevunjika viono wengi sana kama sio kupata vilema vya kudumu au kupoteza maisha kabisa , ni wachache sana bodaboda utawauliza angalau alama 10 za barabarani kupitia michoro wakatoboa hata nusu .Wangekuwa wamepitia vyuo vya udereva kusoma na kufaulu mitihani kungekuwq hakuna haja ya kuwaelimisha kitu kama hivyo
Wengi hawajui vingi
Uchumi
Afya
Mazingira nk.. Ambavyo vyote hivyo wanapaswa kufundishwa na kuvifanyia mitihani kabla ya kuingia barabarani
Waende shule waundiwe sheria mpya ,kama madereva wa magari wanatakiwa kufanya hivyo why wao ,tunaheshimu kwamba ni sehemu ya ajira ila sitamani ajira nyenye madhara makubwa kiasi ichi💪🏿✔🙏🏿Mkuu boda wengi ni mazoe tu , siku tatu kafundishwa huko vichakani ati yupo barabarani ,so wengi wanaendelea kuutafuta uzoefu barabarani na kwa kubatisha tu . That's wamevunjika viono wengi sana kama sio kupata vilema vya kudumu au kupoteza maisha kabisa , ni wachache sana bodaboda utawauliza angalau alama 10 za barabarani kupitia michoro wakatoboa hata nusu .
Waende shule waundiwe sheria mpya ,kama madereva wa magari wanatakiwa kufanya hivyo why wao ,tunaheshimu kwamba ni sehemu ya ajira ila sitamani ajira nyenye madhara makubwa kiasi ichi
Wengi ganja na mkumbo tu, visungura wanakula matejaYani boda anakupita kama upepo alafu mita mia nyingi unamkuta kapaki ,unajiuliza alikua anakimbizana na nini? Jibu hupati, ile sio akili ya kawaida ,upo sahii
Uko sahihi💯Naomba bodaboda wapewe elimu ya matumizi ya Double hazard lights, asilimia kubwa wanazitumia kama fasheni lakini ndiyo chanzo kikubwa cha ajali.
Mfano amewasha hazard halafu yupo mbele na aliyepo nyuma yake hawezi kujua uelekeo wake, ghafla anakunja kushoto wakati huo hajazima hazard, kwa mazingira hay oni rahisi kutatokea ajali.
Kofia ngumu kwa boda boda ni msamiati mgumu sana.Kwa kifupi Bodaboda ni janga kubwa ingawa tunazitumia. Yapo makosa ambayo kwa kina wanapaswa kuelekezwa ili kupunguza ajali;
1. Kutumia Double Hazard bila sababu Huwachanganya walioko nyuma kuhusu kama unataka kushoto au kulia.
2. Kugeuka bila Indicator Unabadilisha mwelekeo ghafla bila kuwaonya wengine.
3. Kupita magari kwa hatari
Kupenya kwenye nafasi ndogo kunaweza kusababisha kugongana.
4. Kukaa kwenye Blind Spot
Dereva wa gari anaweza asikuone kabisa unapopita pembeni.
5. Kukata kona ghafla
Unabadilisha njia bila kutoa nafasi kwa wengine.
6. Mwendo mkubwa kwenye foleni Gari likibadilisha mwelekeo ghafla, muda wa kujiepusha huwa mdogo.
7. Kutumia simu ukiendesha Hupunguza umakini na reaction time.
8. Kumzoesha abiria kukaa vibaya Huvuruga balance na kuongeza hatari ya kuanguka.
9. Kufuata gari kwa karibu sana Ukifunga breki ghafla, unaweza kuligonga.
10. Kuendesha pikipiki yenye hitilafu Breki, matairi au taa mbovu zinaweza kuwa chanzo cha ajali.
11. Kuendesha abiria bila kofia ya ngumu.
Haya ni baadhi ya makosa ambayo wakielekezwa ajali zinaweza pungua.
Wana mbwembwe sana hawa vijana wangu 😂😂😂😂😂Bodaboda yeye indicator ni urembo. kuvuta speed hadi 80km/h hali unaenda kusimama mita 100 tu baada ya rough overtaking ni ufahari na ndio kujua kuendesha pikipiki.