DOKEZO Bodaboda wengi hawajui matumizi ya taa za ‘dabo hazadi’, waelimishwe

DOKEZO Bodaboda wengi hawajui matumizi ya taa za ‘dabo hazadi’, waelimishwe

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Si hivyo tu, kuna matumizi ya taa zenye rangi tofauti na zinazotambulika kisheria

Watu wanatumia taa za rangi tofautitofauti kama vile kijani, nyekundu n.k kwenye maeneo taa za Double hazard

Vilevile kwenye taa za nyuma, siku hizi vijana wanabadili na kuweka taa zinazotoa taa ambazo zinamulika nyuma kama vile anaelekea nyuma hali inayomzuia dereva wa nyuma kuona njia kwa ufasaha

Ni vizuri Jeshi la polisi kitengo cha usalama barabarani wachukue hatua kali mapema ili kuzuia kila mtu kujiamulia namna ya kutumia barabara zetu. Jambo hili liaipozuiliwa, tutaendelea kushuhudia vifo na majeruhi wengi kutokana na ujinga huu wa baadhi ya madereva wasiofuata sheria za barabarani


Fundi, mmiliki wa chombo na Dereva wachukuliwe hatua kali ili turudi kwenye Uniformity of road laws and signs
 
Kweli kabisa kuna watu hawajui maana ake wengi sanaa wanawadha tu
 
Back
Top Bottom