Gulio Tanzania
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,325
- 7,807
Ni ukweli kabisaaBodaboda na Bajaj zimekuwa nyingi kuliko idadi ya watembea kwa miguu
niko najichanga nifungue spare za pikipiki, Hii ni fursa nzuri sanaHii biashara imekuwa na vijana wengi kila baada ya nyumba tano utakutana kijiweni Cha boda kazi hii imekuwa ni ya mateso sana vijana wanafanya kazi masaa mengi kupata riziki pia ni hatari sana kwa afya zao vifo vinavyotokana ajali za boda boda zimekuwa ni nyingi mno.
Nashauri Serikali kuongeza Kodi kwenye hizi boda boda moja imfikie mnunuzi kwa millioni 5 hii itasaidia kupunguza ajali zinazojitokeza.
Kwani Tanzania ina abiria wangapi, na bodaboda ngapi?Karudie utafiti wako! Bodaboda hawawez kuzidi abiria.
niko najichanga nifungue spare za pikipiki, Hii ni fursa nzuri sana
utakuwa umekosea kuni quote soma nilichoandikaBoda moja inaleta elfu 70 kwa wiki sawa na 280k kwa mwezi.
Hii biashara na ya bajaji siyo ya kuacha.
Guantanamoh changamkia fursa
Point yangu ya msingi kwanini kundi kubwa la watu wanakuwa kwenye shughuli moja ambayo inakuwa inaleta maafa mengi Mimi kwa mawazo yangu naona nguvu kazi inakuwa inapungua kuona kundi kubwa la watu kufanya shughuli moja yenye kipato duniHitimisho Lako ni 'ajali' hivyo unashauri bei kununua boda iwe 5M.
Lkn bandiko unalalamikia abiria ni Wachache boda ndo zimezidi..!
Unachanganya matatizo mawili tofauti.
Boda zikiwa nyingi ni nafuu kwa abiria!
Hili la Ajali Waone wataalamu watakufafanulia ni njia zipi zikitumika zitapunguza Ajali
Sijakoseautakuwa umekosea kuni quote soma nilichoandika
Ww ni mbonda mbondaKarudie utafiti wako! Bodaboda hawawezi kuzidi abiria.
Comments reservedHii biashara imekuwa na vijana wengi kila baada ya nyumba tano utakutana kijiweni Cha boda kazi hii imekuwa ni ya mateso sana vijana wanafanya kazi masaa mengi kupata riziki pia ni hatari sana kwa afya zao vifo vinavyotokana na ajali za boda boda vimekuwa ni vingi mno.
Nashauri Serikali kuongeza Kodi kwenye hizi boda boda moja imfikie mnunuzi kwa millioni 5, hii itasaidia kupunguza ajali zinazojitokeza.