mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Kabisa mbona hajaona maframeTusisahau na frame nazo zimekuwa nyingi
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa mbona hajaona maframeTusisahau na frame nazo zimekuwa nyingi
Waambie haoVijana shambani pia kuna hela nzuri tu. Njooni tulime.
Naungana nawe hapa "kazi imekuwa ya mateso sana vijana kwa wazee wanafanya kazi masaa mengi sana"Hii biashara imekuwa na vijana wengi kila baada ya nyumba tano utakutana kijiweni Cha boda kazi hii imekuwa ni ya mateso sana vijana wanafanya kazi masaa mengi kupata riziki pia ni hatari sana kwa afya zao vifo vinavyotokana na ajali za boda boda vimekuwa ni vingi mno.
Nashauri Serikali kuongeza Kodi kwenye hizi boda boda moja imfikie mnunuzi kwa millioni 5, hii itasaidia kupunguza ajali zinazojitokeza.
Kama huamini kawaangalie siafu wanavyopishana wakiwa kwenye harakati zao kwenye ile njia yao kisha angalia na bodaboda.Hitimisho Lako ni 'ajali' hivyo unashauri bei kununua boda iwe 5M.
Lkn bandiko unalalamikia abiria ni Wachache boda ndo zimezidi..!
Unachanganya matatizo mawili tofauti.
Boda zikiwa nyingi ni nafuu kwa abiria!
Hili la Ajali Waone wataalamu watakufafanulia ni njia zipi zikitumika zitapunguza Ajali
Hapa anazungumzia sehemu ambako ziko kwa wingi.Mtoa mada hujafika kijijini kwetu. Boda ni chache mno
Zambia hakuna bodaboda wala bajaji za abiria kama Tanzania! Na maisha yanaendelea vizuri tu.Hii biashara imekuwa na vijana wengi kila baada ya nyumba tano utakutana kijiweni Cha boda kazi hii imekuwa ni ya mateso sana vijana wanafanya kazi masaa mengi kupata riziki pia ni hatari sana kwa afya zao vifo vinavyotokana na ajali za boda boda vimekuwa ni vingi mno.
Nashauri Serikali kuongeza Kodi kwenye hizi boda boda moja imfikie mnunuzi kwa millioni 5, hii itasaidia kupunguza ajali zinazojitokeza.
Kuliko hata biashara zenyewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tusisahau na frame nazo zimekuwa nyingi
Umeanza vizuri kwa angalizo kwamba bodaboda zimekuwa nyingi na vijana wanafanya kazi mchana na usiku ili kujipatia kipato. Umekosea sana tena sana ulipopendekeza kuongeza kodi kwenye bodaboda, sasa hiyo ni solution au ni kuongeza machungu zaidi juu ya maswahiba uliyoyatamka mwanzo. Mimi sielewi kabisa ctitical thinking yetu. Mtu anasema kitu sahihi lakini akija kwenye kupendekeza anapendekeza a very inconsistent suggestion. Utafikri siye aliyeyatamka maneno ya mwanzoHii biashara imekuwa na vijana wengi kila baada ya nyumba tano utakutana kijiweni Cha boda kazi hii imekuwa ni ya mateso sana vijana wanafanya kazi masaa mengi kupata riziki pia ni hatari sana kwa afya zao vifo vinavyotokana na ajali za boda boda vimekuwa ni vingi mno.
Nashauri Serikali kuongeza Kodi kwenye hizi boda boda moja imfikie mnunuzi kwa millioni 5, hii itasaidia kupunguza ajali zinazojitokeza.
Mitaji braza kilimo kinahitaji mtaji....wakati unasubiri mazao yakue unakuwa unakula nini na ukute unategemewa na family.....Vijana shambani pia kuna hela nzuri tu. Njooni tulime.
Akili mavi hizi, halaafu ajira mbadala ulizoandaa ni zipi? Na usafiri mbadala kwenye haya mafoleni baada ya kuoandisha kodi ni upi kwa mtu mwenye haraka dharuraHii biashara imekuwa na vijana wengi kila baada ya nyumba tano utakutana kijiweni Cha boda kazi hii imekuwa ni ya mateso sana vijana wanafanya kazi masaa mengi kupata riziki pia ni hatari sana kwa afya zao vifo vinavyotokana na ajali za boda boda vimekuwa ni vingi mno.
Nashauri Serikali kuongeza Kodi kwenye hizi boda boda moja imfikie mnunuzi kwa millioni 5, hii itasaidia kupunguza ajali zinazojitokeza.
Hapo sawaHapa anazungumzia sehemu ambako ziko kwa wingi.
Nao wameshaanza maeneo ya kaskazini. Muda sio mrefu zitaenea nchi nzima.Zambia hakuna bodaboda wala bajaji za abiria kama Tanzania! Na maisha yanaendelea vizuri tu.
Tukubaliane bado nchi ina watu wajinga mno.kapata kazi ya kuunga kaweka mwanamke ndani, kamzalisha mtoto au watoto kwenye nyumba za kupanga, kodi elfu 60 kwa mwezi, bado bills nyingine, kajichanganya na vikundi vya kuchangishana, mara kakopa kila mahali.....huyu mtu ukimwambia kuhusu shamba yaani atoke mjini anatokaje pengine ashachukua boda boda ya mkataba.....
Frem ni janga. Na ukijichanganya tu uchukue tayari manispaa na TRA hawa hapa.Kabisa mbona hajaona maframe
Ova
Tigo pesa na Mpesa khaaa,Tusisahau na frame nazo zimekuwa nyingi
Omba yasikukute mkuu.Tukubaliane bado nchi ina watu wajinga mno.
Sababu hakuna shughuli za uchumiMtoa mada hujafika kijijini kwetu. Boda ni chache mno