mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Bodaboda syo ajira ileUpo sahihi kabisa lkn maajabu unakuta raisi ananunua bodoboda?
Ananunulia vijana bodaboda.....
Kweli Bongo bahati mbaya
Wangewekeza kwenye kilimo
Hapo sawa
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bodaboda syo ajira ileUpo sahihi kabisa lkn maajabu unakuta raisi ananunua bodoboda?
Ananunulia vijana bodaboda.....
Kweli Bongo bahati mbaya
Acha ubinafsi kenge wewe utawaajiri wakibaki mtaani we hujui kama bodaboda wamepunguza swala la vibaka hapa nchini.Hii biashara imekuwa na vijana wengi kila baada ya nyumba tano utakutana kijiweni Cha boda kazi hii imekuwa ni ya mateso sana vijana wanafanya kazi masaa mengi kupata riziki pia ni hatari sana kwa afya zao vifo vinavyotokana na ajali za boda boda vimekuwa ni vingi mno.
Nashauri Serikali kuongeza Kodi kwenye hizi boda boda moja imfikie mnunuzi kwa millioni 5, hii itasaidia kupunguza ajali zinazojitokeza.
Bongo kuna vitu vitatu vinatulostishaBodaboda syo ajira ile
Wangewekeza kwenye kilimo
Hapo sawa
Ova
Uzi wa frame tena😄 sawa sawa mkuu
Uzi wa maframe unakuja
Ova
Mnisamehe kama kuna watu mmekerwa na mada yangu hasa kwenye uwasilishaji wangu wa hoja hii kuhusu ongezeko la boda bodaAcha ubinafsi kenge wewe utawaajiri wakibaki mtaani we hujui kama bodaboda wamepunguza swala la vibaka hapa nchini.
Unaangalia tatizo kwenye upande mmoja kama robbot la pale bungeni
Hilo halitokuwa suluhishoHii biashara imekuwa na vijana wengi kila baada ya nyumba tano utakutana kijiweni Cha boda kazi hii imekuwa ni ya mateso sana vijana wanafanya kazi masaa mengi kupata riziki pia ni hatari sana kwa afya zao vifo vinavyotokana na ajali za boda boda vimekuwa ni vingi mno.
Nashauri Serikali kuongeza Kodi kwenye hizi boda boda moja imfikie mnunuzi kwa millioni 5, hii itasaidia kupunguza ajali zinazojitokeza.
Ajar Ni nyingi sanaa mkuu imenichukua mpaka Mimi miezi minne Sasa na ndio na recovery...Kabla ya kuja kwa boda boda watu walikuwa wakifanya shughuli gani lazima tukae tutafakari hili naumia kuona boda boda zinavyoacha watu na ulemavu kila siku
Bado ukichukua mizigo kariakoo utataka ufanye delivery/usupply countrywide kwa wateja wamikoani, hapo ndo utaita boda aje akupekee mizigo ya wateja wako kwenye maroli.Hakuna biashara ya kuanza bila kuwa na mtaji wa pesa, hata kuchukua mkataba wa hiyo boda huo mkataba ni kama pesa tu.
Nenda kariakoo maduka ya jumla kachukue mzigo utembeze mule nayo pia ni bila kuwa na mtaji wa pesa kama ulivosema.
Wewe unataka kutujazia vibaka mitaani tena,vijana wengi sasa wamejiajiri kupitia boda boda,kupandisha kodi ili kufanya zisinunuliwe hilo sio suluhisho mana hela zinatafutwa still kuna watu watanunuatu hizo bodboda.Hii biashara imekuwa na vijana wengi kila baada ya nyumba tano utakutana kijiweni Cha boda kazi hii imekuwa ni ya mateso sana vijana wanafanya kazi masaa mengi kupata riziki pia ni hatari sana kwa afya zao vifo vinavyotokana na ajali za boda boda vimekuwa ni vingi mno.
Nashauri Serikali kuongeza Kodi kwenye hizi boda boda moja imfikie mnunuzi kwa millioni 5, hii itasaidia kupunguza ajali zinazojitokeza.
Solution kuwaongezea maskini kodi?? akili za matope hiziHii biashara imekuwa na vijana wengi kila baada ya nyumba tano utakutana kijiweni Cha boda kazi hii imekuwa ni ya mateso sana vijana wanafanya kazi masaa mengi kupata riziki pia ni hatari sana kwa afya zao vifo vinavyotokana na ajali za boda boda vimekuwa ni vingi mno.
Nashauri Serikali kuongeza Kodi kwenye hizi boda boda moja imfikie mnunuzi kwa millioni 5, hii itasaidia kupunguza ajali zinazojitokeza.
Ndio ajira zinazopatikana, nyingine ni uchawa, kubet, umalaya na wizi...mitano mingine wapinzani wanazinguaPoint yangu ya msingi kwanini kundi kubwa la watu wanakuwa kwenye shughuli moja ambayo inakuwa inaleta maafa mengi Mimi kwa mawazo yangu naona nguvu kazi inakuwa inapungua kuona kundi kubwa la watu kufanya shughuli moja yenye kipato duni
Hata ajali za mabasi ni nyingi mno basi serikali iongeze Kodi Kwa Kila abiria nauli ya kwenda Morogoro Kodi iwe laki tatu ili watu wasisafiri kabisa kuepusha ajali.Hii biashara imekuwa na vijana wengi kila baada ya nyumba tano utakutana kijiweni Cha boda kazi hii imekuwa ni ya mateso sana vijana wanafanya kazi masaa mengi kupata riziki pia ni hatari sana kwa afya zao vifo vinavyotokana na ajali za boda boda vimekuwa ni vingi mno.
Nashauri Serikali kuongeza Kodi kwenye hizi boda boda moja imfikie mnunuzi kwa millioni 5, hii itasaidia kupunguza ajali zinazojitokeza.
Unajua Kuna takwimu ilitolewa mwaka Jana kuhusu vifo vinavyotokana na ajali za boda boda ni kubwa sanaHata ajali za mabasi ni nyingi mno basi serikali iongeze Kodi Kwa Kila abiria nauli ya kwenda Morogoro Kodi iwe laki tatu ili watu wasisafiri kabisa kuepusha ajali.
Mkuu mimi siongelei kufanya delivery mkoani sijui countywide naongelea kuua winga pale pale Kariakoo, pengine labda wewe ni mgeni au huna uelewa wa nachokiongelea hapa.Bado ukichukua mizigo kariakoo utataka ufanye delivery/usupply countrywide kwa wateja wamikoani, hapo ndo utaita boda aje akupekee mizigo ya wateja wako kwenye maroli.
Uchumi wa nchi ndo hua unatengeneza mifumo ya kibiashara. Hata aya maflem ni uchafu ilibidi ziwepo office za makampuni na viwanda sio viduka kila kona.
Ukisoma Kitu kina itwa Arrangement(Parmutation) huwezi ongea hili kishabiki bila ushahidiBodaboda na Bajaj zimekuwa nyingi kuliko idadi ya watembea kwa miguu
Mi sio mgeni ndugu, nina miaka na nina acc kubwa tu nyingine umu nimeamua kuipumzisha. Nimeelewa sana tu ulichomanisha ndo maana nkakujibu ivo.Mkuu mimi siongelei kufanya delivery mkoani sijui countywide naongelea kuua winga pale pale Kariakoo, pengine labda wewe ni mgeni au huna uelewa wa nachokiongelea hapa.
Elon Musk halali kabisavijana wanafanya kazi masaa mengi kupata riziki