Bodaboda zimekuwa nyingi, vifo vinavyotokana na ajali vimekuwa ni vingi mno

Hii biashara imekuwa na vijana wengi kila baada ya nyumba tano utakutana kijiweni Cha boda kazi hii imekuwa ni ya mateso sana vijana wanafanya kazi masaa mengi kupata riziki pia ni hatari sana kwa afya zao vifo vinavyotokana na ajali za boda boda vimekuwa ni vingi mno.

Nashauri Serikali kuongeza Kodi kwenye hizi boda boda moja imfikie mnunuzi kwa millioni 5, hii itasaidia kupunguza ajali zinazojitokeza.
Wanyonge hao
 
Huwezi kutatua tatizo kwa kuongeza kodi.
Ukiongeza kodi mabosi wanarefusha mkataba na abiria anaongezewa nauli.
Kwahiyo atakayeumia ni mlaji
Hapo serikali ijenge viwanda watu waajiriwe sekta rasmi.
Vipi walipoondoa pombe za viroba walimaliza tatizo?
Sasa kuna visungura. Yaani toa tuweke.
Issue ya bods ni tatizo kubwa sana nimeandika hapa si chini ya nyuzi 3 .
Point mkuu
 
Hii biashara imekuwa na vijana wengi kila baada ya nyumba tano utakutana kijiweni Cha boda kazi hii imekuwa ni ya mateso sana vijana wanafanya kazi masaa mengi kupata riziki pia ni hatari sana kwa afya zao vifo vinavyotokana na ajali za boda boda vimekuwa ni vingi mno.

Nashauri Serikali kuongeza Kodi kwenye hizi boda boda moja imfikie mnunuzi kwa millioni 5, hii itasaidia kupunguza ajali zinazojitokeza.
Wewe ni mchawi by profession. Kodi ikiongezwa itapunguzaje ajali?
 
Point yangu ya msingi kwanini kundi kubwa la watu wanakuwa kwenye shughuli moja ambayo inakuwa inaleta maafa mengi Mimi kwa mawazo yangu naona nguvu kazi inakuwa inapungua kuona kundi kubwa la watu kufanya shughuli moja yenye kipato duni
Wewe ni mnafiki na mchawi. Kama nchi haina viwanda unadhani watu watafanya kazi gani? Wewe mwenyewe hapo umetoa hata ajira ya u-house girl kwa mtu?
 
Hii biashara imekuwa na vijana wengi kila baada ya nyumba tano utakutana kijiweni Cha boda kazi hii imekuwa ni ya mateso sana vijana wanafanya kazi masaa mengi kupata riziki pia ni hatari sana kwa afya zao vifo vinavyotokana na ajali za boda boda vimekuwa ni vingi mno.

Nashauri Serikali kuongeza Kodi kwenye hizi boda boda moja imfikie mnunuzi kwa millioni 5, hii itasaidia kupunguza ajali zinazojitokeza.
na kwa wanotumia kama usafiri binafsi nao hamtaki wamiliki chombo?
 
Hii biashara imekuwa na vijana wengi kila baada ya nyumba tano utakutana kijiweni Cha boda kazi hii imekuwa ni ya mateso sana vijana wanafanya kazi masaa mengi kupata riziki pia ni hatari sana kwa afya zao vifo vinavyotokana na ajali za boda boda vimekuwa ni vingi mno.

Nashauri Serikali kuongeza Kodi kwenye hizi boda boda moja imfikie mnunuzi kwa millioni 5, hii itasaidia kupunguza ajali zinazojitokeza.
mtamkumbuka lema. na sikia ccmwanazigawa kama njugu wanasema ndio ajira
 
Hii biashara imekuwa na vijana wengi kila baada ya nyumba tano utakutana kijiweni Cha boda kazi hii imekuwa ni ya mateso sana vijana wanafanya kazi masaa mengi kupata riziki pia ni hatari sana kwa afya zao vifo vinavyotokana na ajali za boda boda vimekuwa ni vingi mno.

Nashauri Serikali kuongeza Kodi kwenye hizi boda boda moja imfikie mnunuzi kwa millioni 5, hii itasaidia kupunguza ajali zinazojitokeza.
CCM tumeingiza boda 18,200, bado kuna mzigo unakuja wa kugawa kama mitungo ya gesi inavyogawiwa.
 
Back
Top Bottom